Recent content by kalenge2000

  1. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuinyima Tanzania msaada sio wa busara

    Sijui nimesoma nn hapo juu. Mwandishi anikumbusheeee
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuhusu bomba la gesi Tanzania na Uganda?

    Kuwatetea wakenya ni kujikana mwenyewe. Kenyans are extremly selfish never seen on earth. Wapigwe za usoni tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya atabiri hali mbaya kwa CHADEMA

    Nadhani bado Kipanya hakuchora kwa kuonesha hali hali. Nilidhani na ndio ukweli kuwa huo mlima unapaswa kuwa kama ukuta tena kama ule ulioitenganisha german mbili.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hili ndio Kaburi la Elimu kwa Watoto wa Maskini

    Watakaopinga hoja kama hizi lzma wana migogoro kichwani mwao. Hongera mtoa mada. Natamani Ndalichako angeiona binafsi. Aione Mawazo mbadala.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na gharama za mikutano ndani ya Ngurdoto

    Nimemuona JPM kwamba ana maanisha na ameionya sekretariati kuwa wana bahati mbaya yy kuwa mkiti wao. Ameahd kuwatumbua majipu na wao. jamaa anatisha kuliko kimbunga cha tsunami..
  6. K

    JamiiForums Tanzania NIDA NI JIPU LISILOISHA

    Hilo co jipu ni kansa ya shingoni
  7. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa anastahili kuheshimiwa na kuenziwa!

    EL anatakiwa kukumbukwa kwa 7bu hajaenda segerea. Na nadhani wote wenye nia njema tumuombe JPM asimsahau ktk harakati za kutumbua majipu. Alitakiwa awe ameshatumbuliwaaaaa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zitto Kabwe Anaongea Kama analopoka asipitwe na story?

    Hivi misikule ya DJ Mbowe hawana jipya la kuleta humu ndani. Kwa nn ZZK anawasumbua kihivyo. Baada cdm kugeuka chaka la mafisadi mmebadili sera zenu. Sasa mnadhani mtaingia ikulu kwa kumchafua Zitto. Shame on you. Najua Zitto anawaumiza lkn vumilieni Jengeni genge lenu mwacheni awatumikie...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Makonda: Walimu kusafiri bure

    Hapa wanataka walimu tudhalilishwe tu. Konda ataropoka na kutoa kashifa mfano hili sio darasa nimeshabeba walimu wametosha kwa leo, wengine kesho. Na mkumbuke hata polisi na JWTZ wanapanda kibabe tu wala makonda hawapendi lkn wanaogopa kinachoweza kuwatokea. Nadhani serikali kama ina nia njema...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni mnafiki kama Kikwete

    Ukisoma wanachoandika wengi humu utagundua kuwa wengi ni ukawa. Hawa jina mnafiki, msaliti na ccm b wanayapenda sana. Rais hawezi kuanza na kila kitu. Nadhani tuwe wavumilivu na hofu yenu mnajaribu kumkatisha tamaa ili fisasdi wenu asifikiwe. Subirini hali iko wazi. Atatumbuliwa tu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Boss Bima ya Taifa ya Afya (NHIF) jiandae kusimamishwa kazi!

    Umesababishaa nilieee. Haya sio majipu jamani yameshapevuka. Ni kansa ambazo hata usaha umegandaaaaa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Sipati picha Mawaziri wa Kikwete wanavyojisikia

    Kinachowauma ni pale majipu na kansa zao zinapotumbuliwa. haiji akilini kwamba koki za mafuta zinanunuliwa kwa bei ya kupiga halafu hazifanyi kazi. shame on them.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa mishahara mipya

    Jamani wana jf naomba kujua kama kuna mtu ameshauona waraka mpya wa mishahara hasa upande wa walimu. Naomba kujua content zake.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe, viongozi CHADEMA wahudhuria harusi ya Nassari, wakwepa msiba wa mama Zitto

    Huna akili kabisa au una mimba inayokaribia kuzalika. Kwa hiyo huko Arusha kwenyewe hakuna viongozi wa mkoa. PUMBAFU KABISA.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe, viongozi CHADEMA wahudhuria harusi ya Nassari, wakwepa msiba wa mama Zitto

    Viongozi wa cdm wanaogopa kivuli chao.
Back
Top Bottom