Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Mimi ni muumini wa mabadiliko mimi nadhani Zitto kabwe hawezi kazi na natabiri hichi chama kutokua kabisa,Mimi nilidhani kuenea kwa chama cha ACT nchi nzima kutasaidia kujipanga na kutoa hoja nzito na zenye suluhu kuuhusu na mabadiliko hapa tanzania katika sector mbalimbali likiwemo hili la utalii.
Mimi simchafui Mh.Zitto but nataka kuona mambo mapya ndani Ya ACT(mafano.Mimi naona ACT imesimamia hoja ambazo hata mwalimu Nyerere zilimshinda) nadhani Tanzania na africa kwa ujumla hatuhitaji kufuata foot step za mataifa ya nje. India na China zilifumua mifumo ya Elimu wakafanikiwa sisi tumekaakufanya reference tu nakupiga siasa mchwara.
Hii hoja ya Kenya kujitangazia Mlima kilimanjaro au oldvai gorge mimi naona haina msingi kabisa maana hata Tanzania ikitangaza Hizo hela za matangazo hazirudi ni kazi bure tu bora tuache!
Mfano mdogo tu, Kampuni inamilikiwa na Muhindi,Mzungu,Mchina haina hata usajiri hapa Tanzania, Mwenye kampuni yeye anaishi Ujerumani wazungu wanalipia kila kitu hukohuko huku wanakuja tu na vijisent analala hostel ya kampuni anaenda mbugani, na magari ya kampuni kwa jina vikampuni njaa vya utalii . Hivi revenew utaipata wapi?
Kingine madereva wa magari ya utalii hasa waarusha wanaomba kwa nguvu tip wazungu kwa kuwatishia kuwaacha porini waliwe na wanyama, Mimi ninauhakika watarii wanajua Mt.Kilimanjaro ipo nchi gani, kila mtalii ana GPS ila kufanya biashara na makampuni ya utalii kenya ni afadhari kuliko makampuni ya Tanzania.
Mimi nadhani angeongelea mfumo mzima wa Utalii Tanzania na si kurukia vimada vya ajabu ajabu mtandaoni.
Mimi nashauri pesa zote za utalii zilipiwe Tanzania kabla ya kupata viza ubalozini wa Tanzania nchi husika na zile nakala ndio zitumike kutoa visa ya kuja Tanzania. kama tu tunavyoenda kusoma Nchi zao mpaka ulipie Ada kwanza.
Amina