Uamuzi wa kuinyima Tanzania msaada sio wa busara

Eng. Y. Bihagaze

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,488
908
How Come!!

Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..

Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..

Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..
 
Hujielew kwan vita vikitokea wanaoathirika si watoto na mama zetu ambao hawajui lolote....

Furthermore jitahd kichwa chako ukifanye kiwe na kazi nyingine zaid ya kufugia nywele

Samahani eeeeeeeeh Pole
 
Nadhani wengi wetu tunajitoa fahamu kusudio la msaada wa MCC. Mfano unampa mtoto akakununulie sigara halafu yeye analeta sabuni utafanya nini? Ukiona wengi wanapiga kelele kwa hii hatua basi ujue mambo mabaya(serekali haina hela) ubabe wa mtu mweusi kwa mweusi mweziwe lakini kwa mzungu hutulia kama yeye sie yule mbabe.
 
Nilijua tu hili na mengine yaja haiwezekani narufia tena haiwezekani dhuluma hii ipite bure
 
Wajinga ni sisi ..hata neti za kujizuia na mbu ..ni kwa hisani ya watu wa marekani!.......mnajifariji tuu
 
How Come!!

Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..

Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..

Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..

Chukua mfano jonathan gudluck kule nigeria kakimbizana na nani ? Saf anajilia kapensheni kake huku tz kuna mkapa huyu mungu mtu atapita tu hakuna aliezaliwa kuishi duniani milele na kutesa watu maamuz yote ya kikatili yanatoka kwa huyo
 
How Come!!

Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..

Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..

Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..
Somalia walitaka kubuni mfumo wao wa uongozi sasa miaka ishirini mfumo haujafanikiwa na wanauana,Nigeria walidumu na mfumo wa kijeshi miaka zaidi ya 40,walikua wanapinduana tu na hawakufanikiwa.Huna pakutokea zaidi ya kua na demokrasia imara.Ukitaka turudi nyuma tawala za kimila basi Ndizo zilizozaa ukeketaji .Labda upendekeze mfumo wewe unajiita eng
 
Hivi Injinia una akili kweli???yaani unamuomba mtu msaada afu hutaki aweke vigezo vyake hili akupe huyo msaada?? Hivi we ni injinia wa Nini???kalale mzee
 
Huyu mleta mada kama sikosei ni mmoja wa wafuasi wa karibu wa Gwajima, sasa nimuulize tu na nyinyi wazungu pesa wanazowatumia makanisani huwa hazina maelekezo mzielekeze wapi? Hakuna pesa inayotolewa tu bila condition.
 
Siku zote mtegemea cha Nduguye hulalia bati lililo toboka.. kwani hatuwezi kujiuliza HAO WANAOTUPA HIYO MISAADA WAO NANI ANAWAPA MISAADA.

MISAADA haisaidii MISAADA ni UJINGA.. MISAADA NI ULEMAVU WA AKILI.. OMBAOMBA HAPANA SIKU ATAJINASUA ..

Ndio maana wanaweka masharti ya magumu.. Umaskini mkubwa ni kuendekeza DEZO.. stop DEZO.. Kabla hujamwomba mtu kitu jiulize umemfanyia nini inayostahili upewe ukitakacho? Jiulize pia kwani yeye mwenzio Kakipataje..jiulize pia kwani yeye kuna pahala anaombaomba kama wewe!!?

Stop OMBAOMBA ...
 
How Come!!

Kwamba Zanzibari hawakufanya uchaguzi wa kidemokrasia ndio Msitishe misaada ya kiutu kwa Raia? Wananchi Maskini hawa wamekosa nini..

Watawala waliokandamiza Demokrasia Yenu kwa taarifa yenu hela wanazo. Hawatishwi na mirija mliyo ikata .. hatakama mtazuia kila aina ya msaada wao PESA wanayo sanasana mtatesa raia maskini.. ni aproach ya kipumbavu..

Mimi narejea Wazo langu Waafrika tuunde tawala tunazozijua sisi.. hiki kinachoitwa Demokrasia Hatukijui miiko wa taratibu zake.. mtu akionekana yuko chama pinzani anaonekana Shetani asiyefaa kuishi..Demokrasia Imetubagua Watanzania, umetutenga, tumekuwa maadui sisi kwa sisi, wengine wamekuwa Wakimbizi nje kwa sababu ya Jinamizi Demokrasia Tusilolijua..
Mkuu huwezi kuanzisha mfumo mwengine wa kimaisha bwana hii itahitaji falsafa kubwa sana ila unaweza galagala ktk hii hii mifumo iliyobaki, Ubepari(demokrasi)>Ujamaa>Uislamu.
 
Wacha waende na Pesa zao zenye masharti lukuki...Tutayumba sawa kiuchumi lakini baadae tutakaa sawa!Misaada yao ndiyo imetufikisha hapa....

Tutavumilia tu,riziki anatoa mwenyezimungu
 
Cha kushangaza wanaobeza misaada kukatwa,
Wamekalia midomo tuuuu, na hawana hata wazo la kuzalisha nyanya
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom