Habari JF
Mimi ni mtumishi wa ofisi moja ya serikali hapa DSM. Leo nimeenda NIDA HQ kuulizia kitambulisho changu cha taifa ambacho nilifanya registration na kupiga picha tangu 2013. Jibu nililopata ni kwamba kitambulisho changu waliniomba majina 3 niliyotumia wakati wa registration nami bila hiyana nikawapa. wakayaingiza kwenye kompyuta yao then wakaja na majibu kwamba kitambulisho changu kipo kwa Afisa Utumishi wangu. Nikafunga safari mpaka kwa Afisa utumishi wangu huku nikiwa na confidence ya kupata kitambulisho ajabu nililokutana nalo ni kwamba Afisa utumishi wangu hana hata taarifa khs kitambulisho changu.
HAKIKA NIDA NI JIPU AMBALO HALIJAISHA.