Rais Magufuli na gharama za mikutano ndani ya Ngurdoto

Phillipo Bukililo

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
18,487
13,611
Wakati Rais Magufuli anatoa hotuba ya kufunga mkutano wa Afrika mashariki, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Ngurdoto, alitema cheche zake na kuwapa picha halisi watu wa Afrika Mashariki, kuhusiana na ubanaji wa matumizi.

Rais anashangaa kwanini mikutano ya Afrika ya Mashariki ifanyike kwenye hoteli ya Ngurdoto wakati kuna ukumbi wa AICC ambao hauna gharama kama zinazotozwa na hoteli ya hadhi ya Ngurdoto. Rais Kenyatta aliinamisha kichwa huku akicheka, wajumbe wote kwenye ukumbi wakauelewa ujumbe wa ubanaji wa matumizi.

Lakini ni Ngurdoto hii hii ambayo wakati awamu ya nne inaanza kazi, ilihodhi semina elekezi, ambayo ilitumia fedha nyingi. Sina uhakika, nadhani kwamba mmiliki wa hii hoteli atakuwa ni mmoja wa vigogo wa nchi hii, hivyo tenda za uhakika kama vile semina elekezi na mikutano ya East Africa, huwa ni kipindi cha neema.

Sekretarieti ya East African Community imekumbushwa kuwa watu wa ukanda huu ni masikini, hivyo wasipende anasa za ajabu ajabu.

Ni ujumbe mzuri, ila mmiliki wa hoteli ya Ngurdoto atauchukia sana uongozi mpya wa Rais Magufuli ndani ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, katangaziwa njaa tangu mapema kabisa.

Wakati Rais Magufuli anatoa hotuba ya kufunga mkutano wa Afrika mashariki, uliofanyika ndani ya ukumbi wa Ngurdoto, alitema cheche zake na kuwapa picha halisi watu wa afrika mashariki, kuhusiana na ubanaji wa matumizi.

Rais anashangaa kwanini mikutano ya afrika ya mashariki ifanyike kwenye hoteli ya Ngurdoto wakati kuna ukumbi wa AICC ambao hauna gharama kama zinazotozwa na hoteli ya hadhi ya Ngurdoto. Rais Kenyatta aliinamisha kichwa huku akicheka, wajumbe wote kwenye ukumbi wakauelewa ujumbe wa ubanaji wa matumizi.

Lakini ni Ngurdoto hii hii ambayo wakati awamu ya nne inaanza kazi, ilihodhi semina elekezi, ambayo ilitumia fedha nyingi. Sina uhakika, nadhani kwamba mmiliki wa hii hoteli atakuwa ni mmoja wa vigogo wa nchi hii, hivyo tenda za uhakika kama vile semina elekezi na mikutano ya east africa, huwa ni kipindi cha neema.

Sekretarieti ya east african community imekumbushwa kuwa watu wa ukanda huu ni masikini, hivyo wasipende anasa za ajabu ajabu. Ni ujumbe mzuri, ila mmiliki wa hoteli ya Ngurdoto atauchukia sana uongozi mpya wa Rais Magufuli ndani ya jumuia ya afrika ya mashariki, katangaziwa njaa tangu mapema kabisa.
Atoze bei sawa na AICC lakini huduma ziwe bora.
 
Lakini mheshimiwa huku mtaani sukar imepanda bei. Au unataka tubane matumizi tusinywe chai?
 
Nadhani hata Wapinzani wake wameanza kuelewa kuwa jamaa anaishi kwenye ukweli wake , nilimshangaa zaidi pale aliposema gharama zilizotumika hapa zingeweza kutumika kununua madawati kadhaa.

Nikawaza au Magufuli anahisi anaongea na watanzania pekee, lakini baadae nikagundua matatizo ya nchi za EAC yanafanana hivyo yuko sahihi.
 
Ni jambo jema sana. Hakuna sababu za kuacha ukumbi na kwenda Ngurdoto.
Mkuu facilities, infrastructure na environment impact assessment reports zake khs AICC zinasemaje?
Bila kusahau suala ya Security!
AICC imejengwa 70s hata baadhi ya members humu hawajazaliwa..
Maendeleo yana gharama kubwa zisizoepukika..
Angalia security details zao je ni kama zile za enzi ya AICC 70s na 80s..?
Kulalamika hakuleti tija muhimu ni kuwa think tanker!
 
Ukiona mtu anapiga kelele sana uje either ni pure art au fine art jamani huyu mtu ana akili phd ya kemia na hisabati siyo mchezo huyu ni genious kwann hamtaki kukubali dr magufuli ni kichwa twende baba kandamiza kabs
 
Back
Top Bottom