Recent content by Kalashkano

  1. Kalashkano

    Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

    biblia yanini sasa kiongozi?
  2. Kalashkano

    Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

    Hao ndio wapiga kura leo huwataki, uchaguzi ukifika sio wachawi tena ni watu muhimu sio? Weka akiba ya maneno basi. Nionavyo mimi maraisi wrote ni bora tu ubaya unakuja kichwani mwako, TUSIGAWANYIKE WATANZANIA
  3. Kalashkano

    Mama Samia ameanza vibaya kwa kupuuza kuvaa Barakoa

    Naomba kueleweshwa kwa ushahidi wa kitaalam namna gani barakoa inazuia COVID, maana nachanganyikiwa kabisa katika jambo hili
  4. Kalashkano

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Mungu yupi, yule anafanya kazi siku sita tu ya saba amechoka?
  5. Kalashkano

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    Aitwaje mungu wakati anachoka na tunapumzika nae siku ya saba?
  6. Kalashkano

    Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

    hizo stori ni za kusadikika tu sio za kweli maana mungu hachoki
  7. Kalashkano

    Lengo la sisi kuwa hapa duniani ni nini?

    haya ni ufafanuzi mwepesi sana tena ni wa kitumwa
  8. Kalashkano

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Samahani kwa kureply vibaya kimpangilio maana sio mtaalam wa hizi technolojia
  9. Kalashkano

    Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

    Ningependa kujua je hao wanaoandaa ujio wa mpinga kristo wameahidiwa nini kwa kazi hiyo kubwa namna hii?
  10. Kalashkano

    Hii dhana ndiyo inayotufanya sisi watu weusi tuendelee kuwa dhaifu

    mkuu Chizi maarifa sasa na tupe mikakati yako ili tupembue na kurudisha ukuu wa muaferica
  11. Kalashkano

    Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

    Sioni kama chama kinaweza kuleta tatizo. Mchanga ukiingia jichoni hawatoi jicho. punguza munkari mkuu kila nabii na kitabu chake. Kiongozi sio nabii na asiwe na mapungufu. Mazuri yanayofanywa apongezwe na anayosahau ashauriwe kwa hekima lakini si kwa majina yakukinaisha.
  12. Kalashkano

    Maswali ya kujiuliza juu ya Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station

    Daah, mkuu CHAMOTO umejibu hoja zote kwa uweledi uliotukuka, Watanzania tuwe makini na watu weupe na tuache ushabiki tu
  13. Kalashkano

    Ulimwengu wa 3D na 4D

    Mkuu naomba kujua kwanini Holywood wanapandikiza hiyo fikshen, kunafaida gani kwao kupandikiza uongo?
Back
Top Bottom