Marvel studios chini ya Hollywood inawaandaa watu kisaikolojia juu ya ujio wa Mpinga Kristo

merengo90

merengo90

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Messages
6,845
Points
2,000
merengo90

merengo90

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2013
6,845 2,000
Salute..

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..●Doctor Strange

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of AggamatoUpande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nimesoma na kufafilia hizi harakati kwa Muda sasa, kama sehemu ya kuchallenge akili tu, na kupata Insight. Hawa mabwege wapo na mipango sana na hitaji umakini kuwashtukia .

Kila kundi lina tekeleza agenda kwa namna yake. Hapa kuna.

WANASIASA: hawa watu, wamekuja na mbinu za kutaka ku manupulate akili za watu na kuondoa ule msingi muhimu yaani family. Target ni kugawanya watu DEVIDE N RULE, unaweza usion moja kwa moja bt fanya tafita kidogo...

Wanakuja na ishu za ku promote mambo yatayo vuruga uongezekaji wa Watu, kama kupigia chapio USHOGA, ABORTION ,KUBANA UCHUMI ku discourage uongezakaji wa watu. Wazee wana chochoea mavita huko, but nyuma ya Pazia wao wanajua wanachofanya.. Pia kuna vita against masculinity, nadhani unajua role ya hormones za kiume (nisiende huko).

Yote kwa yote ni kutaka kukupeleka peleka, na wanashirikiana na makundi mengine kufikia malengo yao.

WANAMUZIKI: Sasa hizo agenda zao zote, muziki pia ni tool muhimu katik ku reprogram subconscious mind za watu (how n ina faida gani). mawazo ya binadamu, kinywa, feeling zinaweza kitu into existence sasa pata picha watu bilion moja, waruhusu jambo litokeee ,katik ulimwengo wa rohon ina toa engery kubwa sana ku push mambo yao, na ndoa role ya subliminal messages katik tungo na hata video zao.

(maana hata Ulimwengu uliumbwa kwa neno, vitabu vinasema aonavyo mtu mawazon mwake ndivyo alivyo, meaning mawazo yako yana uwanja mpana kueleta kitu kitokeee, pia vitabu vimeongea kuhusu Ulimi i. e kinywa na moyo pia, kama hujui uliza.) Majamaaa wana promotw ushoga sana, angalia sasa wanamuzik kibao, wana support movements za mashoga, hata wengine kukatisha tour zao katk nchi zinazo pinga ushoga... fanya tafiti.

WANASAYANSI na
WATU WA TECHNOLOGY: Hawa ndio konki aisee, wananiangusha mno. Kwanza jamaa wameanza na tafit za kipumbavu nyingi sana, wakisema tafita mpya sijui nin, mara nin. Utasikia Anal sex ni nzuri kwa afya, mara ushoga ni mtu anazaliwa nao, wanakija na chanjo kibao, zinazo induce hormonal imbalance, kuleta vifo vya watoto na hata magonjw mengi sana ambayo hayakuwepo, kifupi hizi containerz zao, vyakula vya viwandani ingredients zake zina kuvuruga slowly mfumo wa akili (sio kuwa Chiz noo, zina pungza tu utashi wa mtu na huwez wa ku resoan).

Jamaa wamekuja na mbegu ambazo haziwezi kuendeleza uzazi baada ya uvunaji, maan yake ukitaka tena kupanda lazima ukanunue kwao , vipi zikija ku take over mazima, maana yake huwezi kulima hadi uwaone, madawa na ukuzaji lazima mkono wao uhusike. So kukubana ni rahisi mno hapo mbeleni.

Incase u dont know, BILGATES n wenzake kadhaa wanatoa funds katik makampun flan ya ki technology now wana mchakato wa kuweza kubadilisha hali ya hewa, kama wakitaka mvua inyeshe kwa kiwango gani, au kupunguza mwanga wa jua, radi, vimbunga n. K

Kama hufaham hiii technology ipo kitambo sana, ndio maana hata mikataba ya Genevieve, ili katazaga NCHI MBILI ZIKIWA KATIK VITA, HAITAKIW NCHI MOJA KUBADILI YA HEWA YA NCHI INGINE ( JIULIZE WHY WALIKUBALIANA HIVI)

TAASISI ZA UMMA, Dini n. K nitazigusa nikipata wasaaa
 
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
428
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
428 1,000
Dogo umekuwa obssessed sana na huu upuuzi.yaani ukisimuliwa na wewe unakimbia haraka JF kuja kuanzisha thread. Usiwe obssessed .jikite na shule dogo.
 
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
428
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
428 1,000
Mnakaa tu vijiweni na kuamua kuja kuandika mnayosimuliwa utadhani sisi sote ni form four failures. Unaandika andika tu na kutaja taja majina sioni la mana ulioandika kisomi. Weka ushahidi hapa tukuumbue....msidhani humu wote ni division 5 muwe na heshima.

Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,466
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,466 2,000

Who's dogo by the way?? Huko shule wanisomesha ww? May i be dogo but my Spirit and Mind are quite Matured and old..
Stick to the topicdon't discuss my Dogolity
 
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
428
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
428 1,000
I can see you are just a kid who is stuggling to be somebody.

Good! I'm comfortable with that and I enjoy to be the Dogo ambae umetumia muda wako kusoma nilichoandika. Karibu tena, kama hutajali muhula ujao nisaidie kulipa ada.
 
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
428
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
428 1,000
Its ok. Nikipata muda ntasoma coz nakuwa busy nmeangalia title na those pictures nikasema tu huyu dogo tayari ashakuwa confused na maneno ya vijiweni.

Upo kidato cha ngapi sasa?i will give you some books which will help you understand how the wolrd is ran by some information,propaganda,etc. And you shouldnt trust each and everything you hear or read on the internet.

A lot of trush zipo kwenye internet dogo...so usije ukawa kila unachokisoma au sikia unakuja anzishia uzi.😁😁😁😁😁😁

Good! I'm comfortable with that and I enjoy to be the Dogo ambae umetumia muda wako kusoma nilichoandika. Karibu tena, kama hutajali muhula ujao nisaidie kulipa ada.
 
merengo90

merengo90

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Messages
6,845
Points
2,000
merengo90

merengo90

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2013
6,845 2,000
Mnakaa tu vijiweni na kuamua kuja kuandika mnayosimuliwa utadhani sisi sote ni form four failures. Unaandika andika tu na kutaja taja majina sioni la mana ulioandika kisomi. Weka ushahidi hapa tukuumbue....msidhani humu wote ni division 5 muwe na heshima.
Naona fluoride na Chlorine zinafanya kazi vizuri. Vipi kichwa chako ni pambo au ubongo umeweka store.

Tumia akili yako, utakuja kunielewa.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,466
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,466 2,000
Its ok. Nikipata muda ntasoma coz nakuwa busy nmeangalia title na those pictures nikasema tu huyu dogo tayari ashakuwa confused na maneno ya vijiweni.

Upo kidato cha ngapi sasa?i will give you some books which will help you understand how the wolrd is ran by some information,propaganda,etc. And you shouldnt trust each and everything you hear or read on the internet.

A lot of trush zipo kwenye internet dogo...so usije ukawa kila unachokisoma au sikia unakuja anzishia uzi.😁😁😁😁😁😁
Namaliza cha nne mwaka huu.. Je naweza kuvipata vipi!
How u know I'm Dogo!
 
Waterbender

Waterbender

Senior Member
Joined
Oct 2, 2018
Messages
188
Points
225
Waterbender

Waterbender

Senior Member
Joined Oct 2, 2018
188 225
Movies zinajaribu kufikisha ujumbe ambao haufundishwi shuleni doctor stranger ni bonge la ujumbe wa vitabu vya bei ghali sana ile geometry inawaogopesha eti mpinga christo . Saluti Egypt, naomba vitabu mr unknown person
Its ok. Nikipata muda ntasoma coz nakuwa busy nmeangalia title na those pictures nikasema tu huyu dogo tayari ashakuwa confused na maneno ya vijiweni.

Upo kidato cha ngapi sasa?i will give you some books which will help you understand how the wolrd is ran by some information,propaganda,etc. And you shouldnt trust each and everything you hear or read on the internet.

A lot of trush zipo kwenye internet dogo...so usije ukawa kila unachokisoma au sikia unakuja anzishia uzi.
 
Frustration

Frustration

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Messages
573
Points
1,000
Frustration

Frustration

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2018
573 1,000
Unamambo ya kusadikika sana, hizo stori ziishie huko huko usilete kwenye uhalisia.
 
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
428
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
428 1,000
Just the way you right. Kama mdogo wangu wa mwisho yupo form 3 hupenda kufuatilia na kuandika kila anachosoma kwenye mtandao anaamini...ndo maana kirahisi tu na uandishi wako nikajua ni dogo.

Namaliza cha nne mwaka huu.. Je naweza kuvipata vipi!
How u know I'm Dogo!
 
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
428
Points
1,000
Mtu Asiyejulikana

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
428 1,000
Huku spain merengo inamanisha mtu hopeless.

Naona fluoride na Chlorine zinafanya kazi vizuri. Vipi kichwa chako ni pambo au ubongo umeweka store.

Tumia akili yako, utakuja kunielewa.
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
20,466
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
20,466 2,000
Just the way you right. Kama mdogo wangu wa mwisho yupo form 3 hupenda kufuatilia na kuandika kila anachosoma kwenye mtandao anaamini...ndo maana kirahisi tu na uandishi wako nikajua ni dogo.
But I'm not that kind of dogo broh! Niko tayari kupata vitabu hasa vikiwa Hard Copy.. ila Kama ni softhaina shida. I eat them as Breakfast
 
Mnyawende

Mnyawende

New Member
Joined
Jul 14, 2019
Messages
2
Points
20
Mnyawende

Mnyawende

New Member
Joined Jul 14, 2019
2 20
Salute..

Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili naloandika. Hasa kama umefuatilia filamu za Avangers .. toka Avangers Assemble hadi Infinity war mwaka kesho pia Ikitoka Avangers Endgame.

Hapa nitazungumzia muvi mbili ya Doctor Strange na Avangers infinity war.

●Avanger Infinity War
Kama umeiangalia hii muvi hii utaona jinsi Thanos (Josh Brolin) akimwakilisha mpinga kristo alivyopunga population ya watu duniani baada ya kuzipata infinity stones. Kama mmesoma kitabu cha Ufunuo utaona ilitabiriwa kua siku ile yule mpinga kristo atakapokuja ndio kitakachotokea lakini pia ukiangalia wachezaji wa muvi ya Avangers wana Avangers tatoo ambazo zina All Seeing Eye (Eye of Osris) pia kuna pentagoni hapo na Kichwa cha yule mnyama..
Ipo hivii
Namba 6 ni moja kati ya namba 666 ambayo ni alama ya mnyama basi sasa Avangers waigizaji sita ambao ni Hulk (Mark Ruffalo) Captain America (Chris Evans ) Black widow (Scarlet Johnson) Iron Man (Robert Downey Jr) Thor (Chris Hamosworth) Hawkey (nimemsahau jina lake halisi) Lakini katika hao sita mmoja tu ambae ni Hulk ndio alikataa kuchora lakini tunamuhesabu kama hapa angechora. Namba 666 inatoka kwenye kitabu cha ufunuo 13:18 ambapo namba 13 ambayo ni namba ya kuzaliwa upya na 18 inawasilishwa kwa 6+6+6 ikiwakilisha degrees za vyama vingi vya siri kama Mason, , illuminatin etc
jionee..●Doctor Strange

Benedict Cumberbatch as Dr Stephen Strange.
Ukiangalia action za Mystic Art zinazotumika kwenye muvi ya Doctor Strange utona kuna viashiria vyote vya alama za Illuminati. Doctor Strange hua anavaa cheni ambayo inaitwa Eye of Aggamato ambayo kiuharisia ni jicho la linaloona yote (All Seeing Eye) la Osris. Ambalo ndio lile liko kwenye noti ya Dola.
Pia wakati muvi hoyo inazinduliwa aliulizwa anajisikiavipi kucheza nafasi hiyo katika studio kubwa za Marvel alijibu "… I’m excited to see where the
Illuminati and whatever else might happen, how that works, and where
it ends up. So, yeah, I’m aware of his place within the comic pantheon
of it all, the Marvelverse."
Eye of AggamatoUpande wangu niseme kweli hakuna muvi nazopenda kama hizi za Comics na number one fan supehero ni Doctor Strange but ukweli ndio uko hivo Hollywood iko chini ya illuminati na inatumia studio za Marvel kuwaandaa watu kiakili yanayokuja kutokea mbele huko ile siku ikifika.. nawaonea huruma madogo wadogo kama Tom Holland (spiderman) wanauza nafsi zao kwa shetani for the sake of money and Fame.Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sijaelewa ngoja nirudie kusoma, tena na tena
 
Kalashkano

Kalashkano

Senior Member
Joined
Jul 7, 2012
Messages
195
Points
195
Kalashkano

Kalashkano

Senior Member
Joined Jul 7, 2012
195 195

Ningependa kujua je hao wanaoandaa ujio wa mpinga kristo wameahidiwa nini kwa kazi hiyo kubwa namna hii?
 
tundu007

tundu007

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
230
Points
250
tundu007

tundu007

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
230 250
Unaonekana hata kwenye dini yako hujafundishwa juu ya massih dajjar!!au kwa wakristo mpinga kristo!.so tulia hivyo hivyo.au ww mpagani nini!.
Dogo unakuwa consumed na non realistic issues mpaka unaogopa na kuogopesha watu. Hizo symbols na hayo mambo ni imaginary tu wala hayana relevance kwenye dunia hii.

do not take everything so serious da vinci
 
Forum statistics

Threads 1,326,261
Members 509,458
Posts 32,216,041
Top