Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

Je, Mungu aliumba dunia kwa miaka Elfu 6?

"

"The big bang, Expanding universe na Black hole" ni concepts zinaungwa mkono na Quur'an tukufu, kitabu pekee cha dini kilichozungumzia hizo concepts tangu miaka 1400 kabla ya Wanasayansi.

Unaweza eleza kwa ushahidi?
 
Si Biblia wala Qur'an ni vitabu sahihi vya kuleta ukweli hapa kwani vile ni vitabu vilivyotungwa na binadamu na si Mungu. Ukweli wote anaujuwa Mungu tu...tuishi kwa hofu ya Mungu na si hofu ya vitabu vilivyotungwa na wanadamu.
 
  • Unaposema miaka 6000 unamaanisha nini?
  • Unajua utaratibu wa miezi 12 ya mwaka ulianza kutumika 45BC, yaani miaka 2065 iliyopita?

Dini imejengwa katika misingi ya imani, na wakati huohuo utaratibu wa muda tuliojipangia wanadamu ni concept iliyowekwa kisayansi. Sayansi na dini zina misingi isioenda pamoja. Huwezi elewa misingi ya imani kwa kutumia misingi ya sayansi.
 
Hizo "siku" sita ni nyakati sita.

Nyakati ni "cycles", umri wa dunia ni mabilions ya miaka, sasa ukigawanya hayo mabilions ya miaka utapa kila nyakati una umri wa bilions kadhaa za miaka.

Katika kila nyakati umbo la dunia lilikuwa likibadilika hadi nyakati ya mwisho (ya 6) dunia ilipochukua sura kamq hii t unayoiona leo, sura ambayo ina mito, maziwa, bahari, Ozone layer, atmosphere, viumbe hai nk,.

Mungu kupumzika katika siku ya 7, maana yake (yawezekana) ni kwamba katika nyakati ya 7 duniani hakukutokea au hakutatokea mabadiliko yoyote yaani Mungu hakufanya commandment yoyote kubadilisha umbo la dunia, Mungu kupumzika haina maana kwamba Mungu alichoshwa na shughuli za uumbaji na akaamua kupumzika, lazima tukumbuke kuwa Mungu ni mkamilifu katika kila hali, hasinzii, halali, hali, hanywi, hachoki nk, tukisema kwamba Mungu alipumzika jinsi tunavyopumzika sisi viumbe vyake basi ipo siku (apishe mbali) wstu watasema Mungu atakufa kama jinsi viumbe wake tunavyokufa. Mungu apishe mbali na atuepushe na fikra mbovu za kumdhalilisha.
Point
 
  • Unaposema miaka 6000 unamaanisha nini?
  • Unajua utaratibu wa miezi 12 ya mwaka ulianza kutumika 45BC, yaani miaka 2065 iliyopita?

Dini imejengwa katika misingi ya imani, na wakati huohuo utaratibu wa muda tuliojipangia wanadamu ni concept iliyowekwa kisayansi. Sayansi na dini zina misingi isioenda pamoja. Huwezi elewa misingi ya imani kwa kutumia misingi ya sayansi.
Sio kweli.Sayansi na dini zina misingi iloyo pamoja.Sayansi na dini zina msingi mmoja kwakuwa mwanasayansi mkuu ambaye ndiye muumbaji ni Mungu mwenyewe.Dini inaeleza kwa kifupi tu mf.dunia na nyota ziliumbwa.Ila sayansi inaelezea jinsi zilivyoumbwa.
 
Unajua misingi ya sayansi ni ipi?

- Kwa maoni yako unafikiri Mungu aliumba kwamba siku iwe na masaa 24, wiki iwe na siku 7, mwezi uwe na siku 4, na mwaka uwe na miezi 12?
 
"Hapo mwanzo palikuwako na neno"

Je unaweza elezea hii sentensi kwa kutumia misingi ya sayansi?
 
Unajua misingi ya sayansi ni ipi?

- Kwa maoni yako unafikiri Mungu aliumba kwamba siku iwe na masaa 24, wiki iwe na siku 7, mwezi uwe na siku 4, na mwaka uwe na miezi 12?
Kuna tofauti kati ya utaratibu na uumbaji.Hapa tunazungumzia uumbaji mkuu.Sitambui habari ya siku kuwa na saa 24 ila natambua Mungu aliumba Muda panapo bing bang pamoja na mifumo yote ikiwemo jua na sayari zake zinazoizunguka na kujizungusha yenyewe.

Biblia inaposema Mungu akafanya upinde wa mvua kama ishara ya agano sayansi inatueleza sasa ni kwa jinsi gani alifanya kwamba mwale wa mwanga unapopita katikati ya tone la maji huonyesha rangi zake 7 ROYGBIV. Lakini Biblia haielezi kwa upana huo.
 
Kwa mujibu wa Biblia takatifu Mungu aliumba Dunia kwa siku sita na kumpumzika siku ya saba kulingana na kitabu cha Mwanzo.

Lakini kuna dhana ya kwamba siku moja mbinguni ni sawa na miaka elfu moja duniani pia nikinyume na kwamba miaka elfu duniani ni sawa na siku moja mbinguni.

Pia kulingana na dhana hiyo tunaweza pata kitu hiki, kwamba Mungu alipumzika siku ya saba hii inaweza toa taafsiri kuwa Mungu alipumzika miaka elfu moja baada ya kuumba dunia.

Swali muhimu la kujiuliza ni kwamba siku ambazo dunia iliumbwa na Mungu zinahesabiwa katika hali ipi ya kuhesabu siku kidunia au kimbinguni?

Wajuzi wa mambo naomba ufafanuzi katika hilo.

El perdode
hizo stori ni za kusadikika tu sio za kweli maana mungu hachoki
 
"Hapo mwanzo palikuwako na neno"

Je unaweza elezea hii sentensi kwa kutumia misingi ya sayansi?
"Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu. Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika"

Biblia imeandika wazi kabisa kwamba hapo mwanzo palikuwepo na yule aliyepo nje ya muda wa ulimwengu ambaye ndiye chanzo cha bing bang ambaye aliumba muda wa ulimwengu na vyote vilivyomo
 
Basi unaruhusiwa kuchunguza, na ndo utajua hata alie andika amekuficha mengi sana mfani Adamu aliumbwa na lilithi na sio Hawa, hawa aliumwa baada ya makosa ya lilithi.
Hilo nishawahi kulisikia mkuu
tapatalk_1576577732849.jpeg
 
Back
Top Bottom