Mkulima huanza kujiandaa kifikra kwanza kulima, na baadae huandaa msingi wa kuanzia shamba iwe jembe la mkono au machines. Na baadae hupanda kwa kanuni na taratibu za kilimo bora ka ma mbolea na kadharika.
Huezi kuwa mkulima bora kama hulimi kwa kufuata kanuni za kilimo bora.
Halii hii ipo...
Katika hali isiyo ya kawaida kuna kumekuwepo na ujanja ujanja unaotumiwa na baadhi ya mahakama na mahakimu kumpatia kosa mtuhumiwa la kutofika mahakamani ili iwe kisingizio cha kumtia ndani Mshitaki au mshitakiwa.
Hii ili hoja hii iondoke hapo ktk umbwe hilo ni vema sasa Mahakama zetu nchini...
Tanzania ina idadi kubwa ya mashirika ya umma yapo ya kiserikali na ya binafsi.
Mashirika haya kwa kiwango kikubwa hutegemea sana utendaji mzuri na uwajibikaji bora kwa ngazi ya vituo vyake vya chini mbali ya makao makuu kuelekeza namna ya kufikia malengo na kukuza namna bora ya ufanisi ya wa...
Naomba tuzungumze hapa. Wana ndoa wengi wanaishi ktk ndoa bila ya maandalizi ya maisha ya baadae baadae ya ndoa.
Ukiwa katika ndoa kuna furaha na karaha. Furaha inapozidi wanandoa husahau kama hakuna kuachana.
Ni kweli ndoa bora ni ile inayodumu mpaka uhai unapowatenganisha.
Lakin katkati ya...
Wataalam wa viumbe akiwemo binadam anaeleza kuwa kila binadam ana homonce 2
Moja ya kike na moja ya kiume.
Ikitokea mwanaume akazidiwa na homonce za kike atafanya mambo yote ya kike hata akijizuia haitawezekana.
Hali kazalika kwa mwanamke.
Kwa mwanamke huwaaharibu wanawake wenzake kwa...
Katika hali yoyote ni lazima tuwapongeze askari wetu Tanzania kwa kufanya kazi nzuri sana ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao.
Yapo makosa madogo madogo na makubwa yanaweza kuchafua Taswira ya askari wetu ikiwa hayatarekebishwa.
Takukuru huwakagua sana raia na makundi madogo au makubwa...
Mambo haya yapo kwa nyumba zetu.
Waliokua dhaifu hupiga master brrishen na wengine usiku huo huo anatoka kutafuta maradh nje.
Wanawake wengi hawajui kama ndoa ni tendo lenyewe ukikacha tu mwenzio anatafuta msada nje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.