Tetesi: Askari wetu Tanzania

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Katika hali yoyote ni lazima tuwapongeze askari wetu Tanzania kwa kufanya kazi nzuri sana ya ulinzi na usalama wa raia na mali zao.

Yapo makosa madogo madogo na makubwa yanaweza kuchafua Taswira ya askari wetu ikiwa hayatarekebishwa.

Takukuru huwakagua sana raia na makundi madogo au makubwa ktk kutenda kazi zao kwa haki na salama kwz kufuata taratibu za nchi.

Lakini askari anakaguliwa na nani ktk kazi zake za kila siku.

Hii hatujui lakini tunawachia wenye madaraka kumulika hapo kuliweka salama na kazi zao ktl wajibu wa kila siku.

Sina huakika kama yupo askari aliewahi kwenda hijja Iwe islael au saudia.

Kwani hii inaonesha kada hiii ilivyokaa ktk mikono yake ya kazi na haki.
Ni kweli Duniani hakuna alie msafi lakini tujitahidi kutenda haki hata kidogo.

Kila siku ukipita ktk eneo hili si barabarani au vituoni ni lazima mmoja au wawili watoe kitu kitu kidogo ili abaki salama hata kama ametenda kosa.

Wananchi nao wabadilike sasa ni bora usimame kwenye haki ili na ww mtanzania ubaki salama na muumba wako.

Raia wengi huamua kutoa kitu kidogo ili kuachana na makosa yao kwa sababu..........!

Huko mahakamani kuna shiida na wasimamiz wao ndio hao hao je unawezaje kupita salaama? Katika haki tunayoitaka???

Serikali yetu tukufu sasa kwa dhamira ya Mtendaji mkuu (RAIS) aliokua nayo,,,,,, Iwamulike hawa.

Huku mitaani hakuna rushwa,
Huku kuna ahsante na shukrani tu.

Huko kwenye kutenda haki ndio shiida.




Mwisho

Mungu ibariki Tanzania na watu wake
Wabariki viongozi wake
Wape hekima katika kaz zao

Lakini Tukumbuke Haki ni haki haibatiliki.
 
Shida ni pale unapotaka kurahisisha matatizo yako kwa pesa,kwanini tu tusikibali kwenda sambamba nao mpaka mwisho??
 
kweli police wamezidi sana kwa rushwa, ila jana siro amewachana live aliposema raia atakayemshikisha polisi rushwa kupewa zawadi nono
 
Kwa hapa dar, mtu unatoka mwenge Askari 6 wanakagua magari unafika tanki bovu wengine 6 unafika makonde wengine 6 na tochi unakwenda mbuyuni salasala wengine 6 na tochi then Tegeta na Boko wengine bunju na wengine mapinga huwa najiuliza polisi kazi yao ni huko barabarani tu? Hii inachochea sana rushwa na kuongeza ajali Kwani madereva wanaendesha kwa tension!
Fikiria kwa Mfano saw hii unapita njia ya goba tangibovu unakuta Askari anakuashiria ongeza mwendo kupunguza foleni na unafika makonde unaambiwa umezidisha mwendo above 50kpm. What a confusion is this to drivers
 
Kiboko yao Jerry Muro.

Ila sijui kama kuna Polisi ambae hajawahi kupokea rushwa nchi hii.
 
Back
Top Bottom