Maisha na baada ya ndoa

Kalam mpya

Member
Mar 30, 2017
84
76
Naomba tuzungumze hapa. Wana ndoa wengi wanaishi ktk ndoa bila ya maandalizi ya maisha ya baadae baadae ya ndoa.

Ukiwa katika ndoa kuna furaha na karaha. Furaha inapozidi wanandoa husahau kama hakuna kuachana.
Ni kweli ndoa bora ni ile inayodumu mpaka uhai unapowatenganisha.

Lakin katkati ya safari ya ndoa inapotokea dosari za ndoa na kupelekea kuachana mama anabaki katika mzigo mkubwa wa maisha yake na watoto anao walea.

Wanawake
Wanapaswa wanapokua katka furaha ya mahusiano na ndoa ni bora ujishughulishe na kazi ili ukiwa pekee uishi maisha ya kawaida na watoto au familia.

Wanawake wengi sana

Hujisahau na ndoa hujisahau na maisha kwa kutegemea uwezo wa mume, jambo ambalo ni hatari sana iwapo baba ataondoka iwe kufa au dharula au kwa namna yoyote ile.

Nimeona wanawake wengi wakihadhirika na maisha yao kuwa duni hata kupelekea kukata tamaa ya kuishi kwa kua hawana namna ya kukidhi haja zao za kimaisha.


Familia hua ni mzigo wa mama siku zote kwa kulea watoto.
Na wewe mama unapopata muda tumia muda huo ukiwa ndani ya ndoa kupata ridhiki ya familia yako ili hishi salama baada ya ndoa yako.

Historia nyingi sana wanawake ndio wanaolalamika kuhusu kuteseka na watt lakin sio baba.

Hii inaweza kukutokea ww au mama yako au shangazi au dada au yoyote ktk familia, ni vema sasa kuwapa somo ndugu zetu wa kike kujipanga wakiwa ktk ndoa au kabla ya ndoa.
 
Wanawake Nawashauri Kuheshm Ndoa Zao. Km Mwanaume Ni Msumbufu Kimbilia Kwa Wazaz Au Watu Wenye Ushawish Mkubwa Kwake. Mashndano Na Mwanaume Co Kitu Kzr Na Zaid Zaid Wanajtengenezea Mzgo Huko Mbeleni.

Wanaume Ni Watu Wenye Tabia Ya Kutojali Na Kupuuza Kdogo,Hawapendi Bughudha Na Dharau. Wanaume Wengi Wamekimbia Famili Lkn Ukchunguza Sn Ni Maneno Ya Kejeli Ya Mwanamke. Mke Anaweza Kumfumania Mme Hata Mara Kadhaa Lkn Ndoa Inaweza Endelea. Lkn Mke Akafumaniwa Mara Moja Tu, Inawezekana Ikawa Ndo Safar.

Mwanamke Ameumbwa Na Roho Ya Huruma Hta Km Mpenz Wake Atakosea Vp, Lkn Moyo Wa Mwanaume Ukijaa Hasira, Hugeuka Kua Katili Na Kutokumbuka Mazr Yote Aliyofanyiwa.

Hvyo Km Mtoa Mada Anavosema, Mwanamke Anapaswa Kujiandaa Wkt Wowote Kubeba Mzgo Wa Familia. Kwa Mkristo Bible Imeweka Wazi, Mwanaume Ampende Mke Wake Na Mke Amtii Mume Wake, Na Hawapaswi Kuachana Kwa Lolote Isipokua Uzinifu.

So Maisha Ya Ndoa Yanahtaj Hofu Sn Ya Mungu Lkn Vnginevyo Yamejaa Usanii.
 
Back
Top Bottom