Recent content by Kaka Sam

  1. Kaka Sam

    Kwanini ununue mboga? fuga kambale nyumbani kwako kwa kutumia nailoni tu

    nitakuwa navuna kila baada ya mda gani? yaani kambale yup anafaa kuvuliwa. @mods naomba mlunde hii sred mana kuna mamluki. kama huli kambale hujalazimishwa.. tupishe hapa tunaitaji kujifunza
  2. Kaka Sam

    Hutu jamaa sasa sijui kabakisha nini

    ila quality ni poor.. kama azam juice sidhubutu kunywa maana inasababisha kiungulia kikali.
  3. Kaka Sam

    Tecno mobile Mega Thread

    povu jiiingi afu unatoa mifano isiyoendana.. kama ni test apo ungepata 1/50 tena hiyo 1 ni kwa kuremba mwandiko. #teamtechno ndo mpango mzima.
  4. Kaka Sam

    Mch. Kakobe hajawahi kushinda akiwa pekee yake au na kundi lolote

    poleni sana mnaomsema askofu Kakobe kisa eti umeskia... inashangaza sana mwanaume mzima unaandika habari za kuambiwa na hufanyi utafit unakuja kuandika umbea.
  5. Kaka Sam

    Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

    garama za ku endesha kilimo cha nyanya ni kiasi gani kwa mwaka mzima ndani ya hiyo green house? soko la nyanya je? msiku wa kupanda na kuvuna je? maana kwa sasa tenga la nyanya iringa ni elfu 3. na huwezi uza bila dalali. kwanini msinikopeahe na nilipe taratibu wakati wa mavuno if tje project is...
  6. Kaka Sam

    Nina 5ml, nahitaji gari

    Niko dodoma mkuu. yako iko wp?
  7. Kaka Sam

    Nina 5ml, nahitaji gari

    rangi yoyote ile ni poa tu.
  8. Kaka Sam

    Nina 5ml, nahitaji gari

    Nahitaji iliyotumika na mtu yoyote hapa hapa tz. Iwe chini ya cc 1400. Iwe imetengenezwa kuanzia mwaka 2000. Iwe haijawai pata ajali. Kama unayo ni-pm ili nikupe namba ya whatsup unitumie picha.
  9. Kaka Sam

    Utawasuluhishaje Flora na Ema Mbasha?

    dah waliimba wimbo mzuri sana wa ndoa... nayakumbuka mashair yake.. maisha ya ndoa yafananishwa na safar defu, njian kuna mambi mengi... dah ndoa haina fomula isee ni kwa neema tunaishi.
  10. Kaka Sam

    Njooni hapa, mambo yamekuwa magumu sana kwenye hii ndoa

    miezi 6! big NO! ulikosa na akakuona unatafuta msamaha afu anakupiga chenga... otherwise iwe ni story ya kutunga.. ila miezi 6 bila tendo la ndoa basi hapo hakuna ndoa tena.au unamtegemea kwa kila kitu so unaogopa mkiachana utaishije.
  11. Kaka Sam

    Channel mpya ya TV1 inajiachia, raha tupu

    hahahaaaa umenichekesha sana... dirty mind always make ordinary conversation very interesting.
  12. Kaka Sam

    LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

    Kwa kijana ambae mda wowote unaacha kazi ni bora ujiunge mfuko unao katwa 5% afu mwajiri wako anakuchangia 15% kama vile LAPF, na mingine siijui. Hii ni kwasababu utakapoacha kazi na kudai pesa yako utalipwa yote (bila nyoongeza wala kupunguzwa, yaani ile 20% mara miezi uliofanya kazi) Lakini...
  13. Kaka Sam

    Pinda ni waziri mkuu wa Tanzania au Tanganyika?

    asingeongoza shuguli za serikali bungeni maana bunge ni la jamhuri ya muungano wa tz
  14. Kaka Sam

    Pinda ni waziri mkuu wa Tanzania au Tanganyika?

    hahaaaaa umenivunja mbavu sana dah!
  15. Kaka Sam

    Nikiona chupi ya msichana tu nachanganyikiwa

    Tehe tehee Raha jipe mwenyewee.... fungua duka la vyupi kabisa ujipe marahaa weeee...
Back
Top Bottom