LAPF, PSPF, PPF, GEPF, NSSF ipi ni bora katika kuwa mwanachama

pspf ni wezi sana mimi ni shuhuda baba alikuwa askali alifanya kazi kwa zaidi ya miaka 25 cha ajabu alipokuja kustaafu alipewa 5ml, baada ya kufuatilia wakajifanya walikosea wakamuongeza kama 1.2ml sasa hiki ni kiinua mgongo gani au upuuz then wanatoa vijihela kila baada ya miez mitatu ambavyo hata chumv huwez nunua ili kufikia miezi mitatu ijayo ili upate tena. Yaani kwaasira nilimwambia mzee akaifunge na akaunti yenyewe nitampa tu ntakachopata mimi mwanae. Yani mtu anapewa chini ya elfu 70 kila baada ya miez mitatu[/QUOTE

Hii ni Kali
 
Nimeona watu wengi wanaulizia hili jambo kwa sasa. Wengi wao ni wale wana PCCB waliopo depo Morogoro kwenye mafunzo, naona mifuko hii imeenda kujipigia debe na kuwachanganya.
Binafsi nipo PSPF kwa sasa, hii ni baada ya kuajiriwa na serikali. Kabla ya hapo nilikuwa na NSSF nikiwa mwajiriwa wa taasisi binafsi. NSSF walinipa pesa nzuri (mwaka 2011) kama million 21 kwa miaka minne niliyokuwa ninafanya kazi private. Lakini pia nilikuwa nina mshahara mkubwa kwa huyo mwajiri wangu.
Nakumbuka PSPF ndio walikuwa wanatoa mafao makubwa sana, sijui shida ikaanzia wapi. Ila kwa sasa kwa uelewa wangu mdogo NSSF nahisi iko stable. Lakini bado siiamini hii mifuko. Inaweza ikapoteza pesa nyingi za wanachama kwa miradi wanayoibua kila kukicha na ufisadi mkubwa unaoambatana na hiyo miradi.
Lakini pia sioni mantiki ya nchi yetu ndogo kuwa na mifuko lukuki inayoshindana. Wangeupa kazi mfuko mmoja tu utekeleze yote yafanywayo na mifuko yote.
 
Hawa wajamaa wako 6, naona umemsahau NHIF na wanasimamiwa na SSRA....Hiyo ni kwa manufaa ya wengine..

Asubuhi njema.

Mkuu NHIF nao wako kwenye kundi la mifuko ya hifadhi!? Nimeuliza tu.
 
Nakushauri ujiunge na LAPF. Mimi nilipostaafu nilipata jumla ya Tshs.163M. Siyo wasumbufu kabisa. Kama unastaafu kesho hela yako wanakuwekea leo na unaikuta kwenye Benki uliwaelekeza wakuwekee. Piga simu kwa mablangeti Na.0754299963, Ndugu Ndwata 0754924415 hawa ni wafanyakazi wa LAPF watu maakini sana na watakusaidia sana. LAPF ni mkombozi kwa wafanyakazi.
 
We unatafuta wateja,waambie wenzio ukweli heee,looo!!!!!
 
Habari Wakuu, Naomba kufahamu upi ni mfuko mzuri kujiunga kama mwanachama (na sio kuwa muajiriwa wa mfuko). Kwa maana nyingine kama mtu kaajiriwa sehemu fulani na akapewa uhuru wa kuwa mwanachama wa mfuko wa bima mmojawapo je mfuko upi wa bima ni mzuri na una manufaa kwa huyo muajiriwa..????

Sikushauri kujiunga na NSSF, ni wezi wakati wa kujitoa. Kwingineko sina uzoefu nako.
 
Nakushauri ujiunge na LAPF. Mimi nilipostaafu nilipata jumla ya Tshs.163M. Siyo wasumbufu kabisa. Kama unastaafu kesho hela yako wanakuwekea leo na unaikuta kwenye Benki uliwaelekeza wakuwekee. Piga simu kwa mablangeti Na.0754299963, Ndugu Ndwata 0754924415 hawa ni wafanyakazi wa LAPF watu maakini sana na watakusaidia sana. LAPF ni mkombozi kwa wafanyakazi.
hII PROMO SASA
 
Hapa kwenye hii thread kama tungejibishana sisi wanachama tu wa hii mifuko kwa experiences tulizonazo na mafao tunayoyapata tungetoka na kitu bomba sana kwa hakika,

Tabu ni pale mbapo thread ishaingiliwa na Waajiriwa wa hii mifuko kila mmoja akitetea mfuko wake kwa kujifanya eti na0 ni wanachama walieonja matamu ya huu mfuko. Matokeo yake tunaishia kuingizana chaka tu.
 
Kwa kijana ambae mda wowote unaacha kazi ni bora ujiunge mfuko unao katwa 5% afu mwajiri wako anakuchangia 15% kama vile LAPF, na mingine siijui. Hii ni kwasababu utakapoacha kazi na kudai pesa yako utalipwa yote (bila nyoongeza wala kupunguzwa, yaani ile 20% mara miezi uliofanya kazi)

Lakini,
Kama unataka kuingia kwenye pension (yaani ufanye kazi na kustaafu na kulipwa kinua mgongo) inabidi utafute mfuko wenye kutumia FORMULA nzuri ya mafao ya kustaafu... maana pale hulipwi yote(20% mara miezi) uliyochangia bali ni kiinua mgongo na kisha unaingiwa kwenye malipo ya kila baada ya miezi mitatu au mifuko mingine ni kila mwezi lkn ni kiasi kidogo sana kulinganisha na mshahara wako wa sasa.
 
Nakushauri ujiunge na LAPF. Mimi nilipostaafu nilipata jumla ya Tshs.163M. Siyo wasumbufu kabisa. Kama unastaafu kesho hela yako wanakuwekea leo na unaikuta kwenye Benki uliwaelekeza wakuwekee. Piga simu kwa mablangeti Na.0754299963, Ndugu Ndwata 0754924415 hawa ni wafanyakazi wa LAPF watu maakini sana na watakusaidia sana. LAPF ni mkombozi kwa wafanyakazi.

Ingekuwa bora kama ungetuambia jumla ulichangia kiasi gani?
 
Nakushauri ujiunge na LAPF. Mimi nilipostaafu nilipata jumla ya Tshs.163M. Siyo wasumbufu kabisa. Kama unastaafu kesho hela yako wanakuwekea leo na unaikuta kwenye Benki uliwaelekeza wakuwekee. Piga simu kwa mablangeti Na.0754299963, Ndugu Ndwata 0754924415 hawa ni wafanyakazi wa LAPF watu maakini sana na watakusaidia sana. LAPF ni mkombozi kwa wafanyakazi.

Ulikuwa unafanya kazi gani?
 
Habari Wakuu, Naomba kufahamu upi ni mfuko mzuri kujiunga kama mwanachama (na sio kuwa muajiriwa wa mfuko). Kwa maana nyingine kama mtu kaajiriwa sehemu fulani na akapewa uhuru wa kuwa mwanachama wa mfuko wa bima mmojawapo je mfuko upi wa bima ni mzuri na una manufaa kwa huyo muajiriwa..????

Muda mfupi mifuko yote italipa sawa! tunachosubiri ni muswada upitishwe Bungeni na kiongozi wa Nchi atie mkono wake. Na malipo yake yatakuwa hivi" utalipwa wewe baada ya kustahafu mpaka utakapokufa, ukifa tu ataendelea kulipwa mkeo au mumeo mpaka atakapokufa" ila kila miaka mitano itakubidi uende kujisajili utapeleka picha ya wakati huo. Maana yake wasije wakawa wanalipa malipo hewa. kwa maneno mengine usipojisajili tu malipo yanakoma baada ya miaka mitano.
 
Hapa kwenye hii thread kama tungejibishana sisi wanachama tu wa hii mifuko kwa experiences tulizonazo na mafao tunayoyapata tungetoka na kitu bomba sana kwa hakika,

Tabu ni pale mbapo thread ishaingiliwa na Waajiriwa wa hii mifuko kila mmoja akitetea mfuko wake kwa kujifanya eti na0 ni wanachama walieonja matamu ya huu mfuko. Matokeo yake tunaishia kuingizana chaka tu.

Yeah umeongea jambo zuri sana, hapa watu wanashindwa kumake decision wajiunge wapi
 
Usikurupuke kaka,soma uelewe sio unakimbilia ku reply.LAPF imeanzishwa 1944 as a provident fund ila 2008 wakatransform into a pension fund(tofautisha provident na pension fund) na muda wote huo since 1944 wamekuwa wakisajili wanachama

Nashukuru kwa kumwongezea dozi!
 
LAPF na PSPF wanatumia formula nzur ya pension..pia wana consider mshahara wa mwisho wkt NSSF wanachkua average salary ya previous 5 years..pia LAPF ukijiunga kadi unapewa hapoapo..wafanyakaz wao wakarim na wana kauli nzur..wa NSSF wana kiburi na maringo
 
Question Remixed,

Ukiwa mfuko mmoja na labda ushachangia miaka mitano, then mbele ya safari ukaona mfuko ulioko sio, waweza kuhama na fung lako ukahamia mfuko mwingine huku ukidumbukiza kile ulichohamisha??
 
Back
Top Bottom