Kaka Sam
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 540
- 80
Alishasema sana chief mkwawa hapa sema mmeamua kua vipofu wa akili kila siku kuuliza maswali yale yale,tena non sense.
Huwezi kua una gari aina ya vitz ukataka kujilinganisha na mwenye range kisa zote ni gaqi,utakua huna akili. Huwezi kua una nyumba ya nyasi ukataka kujilinganisha na mwenye gorofa eti kisa zote ni nyumba,utakua mwehu. Huwezi kua unapikia kuni ukataka kujilinganisha na anaepikia gesi eti kisa yote ni majiko,utakua kilaza.
Tecno ni sawa na nguo za mtumba,siwezi kununua nguo ya mtumba tuseme karume,yenye alama ya nike,nikajilinganisha na droga eti kisa nae kavaa nike,ntakua mburula.
povu jiiingi afu unatoa mifano isiyoendana.. kama ni test apo ungepata 1/50 tena hiyo 1 ni kwa kuremba mwandiko. #teamtechno ndo mpango mzima.