Recent content by kaka dj

  1. K

    Matatizo ya utawala wa CCM hayaondoki kwa kuangalia matatizo ya CHADEMA

    Mkuu pamoja na hoja nzuri za mwanakijiji nadhani na hizi pia ni hoja za msingi ambazo mwananchi wa Tanzania anatikiwa kuzidai kwa vile zimebakwa na serikali dola ya ccm, na hili kuwa pumbaza wananchi katka mambo ya msingi huwa zinaandaliwa hoja mfu na hata kashifa na matukio ya kupangwa na...
  2. K

    Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

    Jamani eeeh! niwambieni kitu, huo ni upepo tuuuuuuuuuuuuuu utapita, kama hisa, hisa wengi wanazo uko kwenye makampuni yetu ila wamezidiana kidoooooogoo tu, tuache wivu wa kike. yetu macho, Mwakyembe kazi unayo baba pagumu hapo.
  3. K

    Nape ngoja nikusaidie,,,,

    Kwa jinsi ilivyozoeleka siku zote anaeyekimbizwa umsifu aneyemkimbiza kwani huwa anamuongezea ujasiri na hali zaidi ya kushindana na mpinzani wake, lakini kwa chama kilicho kaa madarakani kukimbilia majukwaani na maandamano ambazo ni "sera za wapinzani"(kwani ndio sehemu pekee za upinzani...
  4. K

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Ndugu nafikiri ukuwemo humu janvini kwa muda. mabona mambo yote keshamaliza Yeriko! on his Breaking News.
  5. K

    Mnyika ashinda kesi dhidi yake; Hawa Nghumbi atakiwa kulipa gharama za kesi!

    Thanks God, may our almight LORD Bless Ubungo too. Mambo yote Jangwani J1 See u ther
  6. K

    Tutegemee nini kutoka kwa Waziri mpya wa Viwanda na Bishara Mh. Abdallah Kigoda?

    Ndugu zangu hii ndio Tanzania ya magamba ni sanaa juu ya sanaa, wapiga kelele wengi wakiwa nje ni kwa ajili kutaka wainjizwe ndani ya ngom ili na wao wacheze si unajuwa utamu wa ngoma nakumbuka maneno ya kiongozi mmjo wa dini wakiwa Rock City alituasa juu ya ya wapambani wa ukweli wa ufisadi...
  7. K

    CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

    Nasikia kichefuchefu nikiona madudu kama haya ya MPG Global ni ujinga mtupu kuwa na kina chief mangungu ambao ni wasomi wasioelimika wakikuwadia rasilimali za nchi yetu. Inakera.
  8. K

    Filikunjombe: Tuna ombwe la uongozi...

    Jamaa lakini mjanja sana nakumbuka hata aliweza kuwasambaratisha wagombea UBUNGE wa CDM hawakurudisha form hadi akapeta ki ulaini, he is very smart guy.
  9. K

    Ngeleja kupokelewa Kifalme!!

    Wajameni huyo mtu hataa huo ubunge si alipewa na R ili amtumie kwenye ishu zake sasa kazi hana tena nani atampakata 2015, kwishnei.
  10. K

    Imedhihirika, Lowassa Mguu Mmoja CCM, Mwingine Chadema

    Hivi ile list ya aibu pale Mwembe Yanga ilisha-expire au imeshafanyiwa editing ? na kwa maslahi ya nani.
  11. K

    Ndoa ya chadema na sabodo si mtihani tosha kwa upinzani?

    Jamani tuache unazi wa Simba na Yanga,mleta hoja huenda anakiona mbali kwani hawa jamaa( "waasia wenye asili ya Tanzania") wako kikazi zaidi. my take:Tuwe makini
  12. K

    Proved: Halima Mdee alinena

    Si vyote huwa ni viti maalum vingine ni VITU MAALUM! Umesemaje?
  13. K

    Hamieni CHADEMA kabla safina haijafungwa - Godbless Lema.

    ikumbukwe kuwa hata nuhu pamoja na kuchukua aina zote za viumbe alichagua mbegu zile zilizokuwa bora tu !
  14. K

    Viongozi Wetu Na Ndege Huyu Tulikuliku! ( Makala Raia Mwema)

    Bravo mkuu, Tafakari ni ya kina na inatoa changamoto kwa kila mzalendo wa kweli. Ni ukweli usifochika kuwa mambo ya HOVYO HOVYO katika nchi hii ni mengi, ni wakati wa kila mtu afunge ayaone na tuwe na mikakati chanya ya kukabilana nayo. Mfano mmoja wa mambo ya hovyo na tena ni hatari kwa Taifa...
  15. K

    Chato wabadili muda wa kazi kwa watumishi wote; kufanya usafi asubuhi

    Napenda kufahamu jambo moja muhimu, je ni amri kutoka kwa Mkuu wa wilaya au ni mapendekezo ambayo wananchi wameyapokea na kuyafanyia kazi kwa utaratibu waliojiamulia kwa vikao husika? Kwa maoni yangu kutokana na tabia mbaya tuliyojijengea wa -TZ wengi(si wote) hatufanyi kitu kwa ridhaa zetu...
Back
Top Bottom