Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta. Wewe ni mtu uliyelelewa vizuri na una hekima. Huyo binti naona anatamani uwe mwandani wake ndo maana amekufanyia visa. Yeye ndiye wa kukuomba msamaha. Usiangaike nae tena moyoni mwako, kaa mbali nae. Be serious no kuchekacheka.
Kama u mkristo nenda katoe sadaka...
Mmmh!
Diet tea? Bia kabisa ile!
Uchambuzi kidogo tu unasema: bia inampa alcohol; sigara-nicotine; nyama choma-cholesterol+carbon monoxide....n.k! Hakuna cha raha hapo!
Mmmh! Ujumbe wako Wakuacha umenipa simanzi. Pole sana mdogo wangu ndo maisha yalivyo, na wanawake ni viumbe dhaifu. Usivunjike moyo naamini yaliuokupata yana sababu zake na sio ajali. Mtumaini Mungu aliye juu ya wote wenye mwili na wasiokuwa na mwili. Tafuta na omba kwa imani nawe utafanikiwa...
Naona watz tumeanza kufumbuka macho kuhusu faida za kodi. Ifahamike kuwa hawa wenzetu wa EU wapo kimaslahi zaidi. Wanataka bidhaa zao zije kwetu kwa kodi ndogo ya ushuru ambao kimsingi huwa unalipwa na mwagizaji na hivyo kuuzwa kwa bei ndogo sokoni. Sasa bei ikiwa ndogo, basi zitanunulika sana...
Pole sana ndg Kilimba kwa kuvunjwa moyo. Mimi naomba nikutie moyo ktk shughuli ya kilimo cha mbogamboga unachotarajia kukianza ili kupunguza ukali wa maisha. Katika kutafuta pesa kamwe usiruhusu walioshindwa na waoga kukurudisha nyuma ktk mipango yako. Fahamu kuwa biashara inayohusu chakula cha...
Asanteni sana kwa elimu safi kuhusu magari yetu. Ifahamike pia kwamba gari ambayo upepo wake wa matairi hauko sawa ( yaani "unbalanced tyre pressure"), mfumo chakavu wa bushi (hasa za chini) na matairi ambayo hayako katika mstari mnyoofu (nonaligned tyres), huwa inachakaa haraka kuliko...
Kweli usilolijua ni usiku wa kiza.......kiza kinene. kwa taarifa yenu Mr Luoga alishastaafu TRA siku nyingi. Hizo pesa amezipata akiwa nje ya TRA. Haiwezekani kumfukuza kazi mtu ambaye hayupo kazini. Siku nyingine muwe makini mtoapo habari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.