Kumbe ha humu JF kuna wakurupukaji,alafu inatakiwa kutafakari kwanza ndio utoe mawazo yako,kuna watu hawajuwi kwamba ukiandika "No comment'' nayenyewe ni comment,Lissu anahaki maana katiba na muongozo vipo ila tafakari ya kibabe utasema anakiherehere.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.