Hivi wanafanya mambo haya kwa ajili ya nini? au kwa faida gani? hawa watu hawaoni kuwa ukosekanaji wa umeme unachangia kushuka kwa pato la taifa. hawaoni kuwa maisha ya wanachi yanazidi kuwa magumu! serikali yetu kama kichwa cha mwendawazimu
Kwa hiyo Mama spika anatuambia kuwa sitta ataendelea kulipiwa millioni kumi na mbili kila mwezi, mpaka mungu wake atakapomuita!! ni hela hizi hizi wanazotuchangisha walipa kodi au!!!
Nakuunga mkono mtu B, at least yeye kuna aliyoyafanya kwa muda ule mfupi mpk leo tunayahesabu. binafsi namshukuru sana kutumalizia kero yetu ya shekilango road. kama ingekuwa ni msanii Pinda mpaka leo tungekuwa tunaogelea kwenye yale mahandaki
Huu mchezo hawa vijana wameshauzoea na wakati mwingine wananyonya mafuta askari wa barabarani wapo wanawaangalia tu. madereva na makondakta wao pia wanawaona hawakemei. barabara ya mandela ndio hasa kunakofanyika mchezo huu maeneo ya buguruni. siku ikitokea maafa (mungu aepushe) sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.