Recent content by kaitlynne

  1. kaitlynne

    Tell me your favourite perfume

    1. Pleasures- Estee Lauder 2. Issey miyake 3. Dance- Givenchy 4. Jasmine Noir Bvlgari 5. Nina Ricci
  2. kaitlynne

    T-shirts za jamiiforums

    ngja nitume email huko
  3. kaitlynne

    T-shirts za jamiiforums

    mi pia nazitaka
  4. kaitlynne

    Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

    duu sikuwahi kifikiri hii kitu, hata hivyo wala haisaidii basi
  5. kaitlynne

    Face to face na X wangu

    hee, we si ndio unatafuta wa kukuzalisha mtoto utalea mwenyewe?? sasa vipi kumbe una mume!!
  6. kaitlynne

    maduka ya nguo nzuri za kisasa yapo wapi dar?

    kiuno 32. nasubiri hiyo zawadi. sipati picha sijui ni zawadi gani hii.lol
  7. kaitlynne

    maduka ya nguo nzuri za kisasa yapo wapi dar?

    Mitaa ya kanisa la RC Makuburi ni nyumbani kwake. Ni PM nikupe namba yake
  8. kaitlynne

    maduka ya nguo nzuri za kisasa yapo wapi dar?

    Pia Kikis fashion, hata kwa da mage anauza suit nzuri za mitumba kutoka UK yuko Mabibo
  9. kaitlynne

    GE2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    We ndio Mnyika nini?:wave:
  10. kaitlynne

    GE2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    Hadi mwili unasisimuka jamani. Bravo Mnyika
  11. kaitlynne

    House for rent

    Rent ni kiasi gani maana nategemea kuja bongo October, nitakaa kwa 4 weeks.
  12. kaitlynne

    mapenzi ya mbali

    Mi ndo nawehuka very soon.
  13. kaitlynne

    Unakumbuka kufanya kituko gani during foolish age?

    uwwwiiiii mbavu zangu. sijawahi cheka hivi. watu mna vituko!!
  14. kaitlynne

    The women who choose not to be mothers

    Kama una afya njema na mwenzi na kipato sioni sababu ya kutozaa.
Back
Top Bottom