maduka ya nguo nzuri za kisasa yapo wapi dar?

baba enock mimi mshamba wa jiji kariakoo naogopa kuibiwa ila kama hakuna alternative basi nielekeze hata huko nitaenda mimi nimeibiwa cheni kariakoo mwaka jana hadi leo napaogopa!

kariakoo lazima mugawane umasikini so uclalamike
 
wadau mambo vipi?sina budi kuja kwenu na kuwashukuru!nimepata vivalo vya nguvu maeneo ya kinondoni muslim,nimefika mwenge na kijitonyama pia nimevamia kariakoo nimekuta vitu bei rahisi sana hadi nikawa siamini!
nashukuru sana tena sana nimeamini jf ni zaidi ya jukwaa!
kwa heshma na taadhima nipeni viuno vyenu ili nipate size ya zawadi zenu pia,najua mkono mtupu haurambwi!
thanx!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom