Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Katavi, May 15, 2011.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  May 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa tuliosoma boarding hasa zile za wasichana na wavulana tulikuwa tunakula msosi huku mboga zikiwa na harufu ya mafuta ya taa.

  Hakuna sababu ya maana iliyokuwa inatolewa na wapishi zaidi ya kuwa na tetesi tunazopata kutoka kwa wanafunzi wenzetu kuwa mafuta ya taa yanapunguza hamu ya kufanya mapenzi!

  Sina hakika kama ni kweli ndio lilikuwa lengo.Hivi huu utaratibu ulikuwa ni kwa shule zote za boarding?
   
 2. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sikujua kama yalikuwa na sababu hiyo mie nilifikiri ni utunzaji mbaya wa chakula kuchanganywa na mafuta ya taa
   
 3. NGUZO

  NGUZO JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Hata mie ilikuwa ikinikera sana hii harufu ya mafuta ya taa, lakini nilipoulizia jibu lilikuwa hilohilo la kupunguza ashki za matamanio ya mwili, je kuna ukweli wadau?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kama ni kweli basi haisaidii sana!!
   
 5. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  siku moja mpishi alikosea yakawa mengi.ikabidi chakula kimwagwe.mkuu wa shule akadai chanzo cha tatizo ni utaratibu mbovu wa kuchanganya chakula na mafuta katika gari moja
   
 6. p

  p53 JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haukuwa utaratibu wa shule zote.Niliposoma japo ilikuwa wali mara moja kwa wiki na nyama mara moja kwa mwezi na wakati mwingine unakutana na wadudu kwenye maharage,lakini sikumbuki kama kuna siku nilikumbana na harufu ya mafuta ya taa kwenye chakula.
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Miaka yangu ya shule sikuwahi kusikia kitu hii. Labda kwa kuwa tulikuwa wanaume tupu! Ila juzi tu binti yangu kalalamikia harufu ya mafuta ya taa kwa chakula! Sikuwa na jibu la kumpa. Kama ni kupunguza hamu ya mapenzi je na kwa shule za wasichana tupu inakuwaje?
  Hivi harufu ya mafuta taa na petrol zote zina athari sawa?
   
 8. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mm nilisoma boarding lkn sikuwahi kukumbana na hili ila last wk kuna vijana walinipa maelezo km hayo nikabisha ckuona logic , sasa hao wapishi hutumia kipimo gani ? Tz kazi kweli kweli kwa ubunifu usiojali afya za wengine
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hadi za wasichana. Shule niliyosoma walikuwa wanatuwekea.
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  ashki pale pale au?
   
 11. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,988
  Likes Received: 20,391
  Trophy Points: 280
  Ninakumbuka hali hii kuwepo shule niliyosoma wilaya ya masasi (ilikuwa ni co- edu skul) mada nzuri mkuu Ivuga nadhani tutapata info nyingi zenye kuelezea hili
   
 12. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  So wasichana ndo wanakuwa na ashki tu! Wavulana nop! Haya tuambie ilkuwa inasaidia?
   
 13. kaitlynne

  kaitlynne Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duu sikuwahi kifikiri hii kitu, hata hivyo wala haisaidii basi
   
 14. Jitihada

  Jitihada Senior Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nnajiuliza ni kwann walikuwa wanachanganya ktk mboga tu, kama ni hivyo si wangechanganya hata ktk Uji.
   
 15. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,407
  Trophy Points: 280
  mie nimesoma shule tatu za sekondari za serikali nikiwa bweni. Kote huko nilikutana na jambo hilo hilo la chakula hususani maharage kuwa na mafuta ya taa. Naafiki ulikuwa ni mpango madhubutu...katika conspiracy theory hakuna mnyama aitwaye coincedence. Kwa hiyo ninaamini hilo jambo ktk shule zote haiwezi kuwa coincidence.
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  May 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ashki kama kawaida!!
   
 17. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  shule nyingi wanautaratibu huo, hata single sex boarding schools kama niliyosoma mm walikuwa wanaweka kitu cha taa kwenye maharage
   
 18. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka nimekutana na tatizo ili kuanzia o-level hadi A-level.wanadai wanapunguza iyo kitu.hasa boys.nani alibuni kitu hii ya kijinga?
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  May 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sasa kwa nini waweke kwa single sex schools?
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  May 16, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Nadhani labda ndio inasababisha hata watu kuwa na matatizo ya nguvu za kiume ukubwani!
   
Loading...