Recent content by kaisiki kalungi

  1. kaisiki kalungi

    Sheria inasemaje kuhusu kusomeshwa na mwajiri?

    Habari wanajamvi Mimi ni mfanyakazi katika kampuni binafsi(sio kubwa) kwa takribani miaka mitatu now Nmeona nirudi shule na mwajiri wangu amekubali na kuahidi kunilipia ada na kunilipa mshahara nusu ntakapokua masomoni(sina hakika sana na maneno yake) Mi nmejipanga mwenyewe incase akizingua...
  2. kaisiki kalungi

    Diamond hana washauri?

    Hapo sasa Anawabeba global wampige picha anafikiri ndo itamsaidia
  3. kaisiki kalungi

    Diamond hana washauri?

    Mnao mlaumu Diamond hamjapitia aliopitia ,ndio sio vizuri anavofanya but muacheni mungu ndie hakimu nyie wenyewe mna dhambi ngapi ambazo hatuzijui Fanyeni yenu waachieni mambo yao ya kifamilia Wanaume ishini vizuri na wapendeni watoto wenu huwezi jua atakua nani baadae Hata km umeachana na mama...
  4. kaisiki kalungi

    Dini na kabila vina mchango gani katika mahusiano?

    DINI katika mahusiano zina effect kubwa sana hasa mkiwa dini tofauti Unatakiwa kuangalia mbali unapompenda mtu sio hapo mlipo tu mtaoana mtazaa hao watoto watafuata imani ya nani Hapo ndo ugomvi huanza Mimi nmeexperience wazazi wangu kua dini tofauti imeniaffect sana coz ilibidi nijibatize...
  5. kaisiki kalungi

    I ain't your mama

    Bora umemwacha dada wa watu coz you don't deserve her Humfai kabisa na wala hukumpenda atapata ampendaye Mwanaume gubu na kisiran kaa nn Sasa hapo kosa lake ni nn Angekataa kwenda dukani ndo ungesema ana kiburi bt alienda
  6. kaisiki kalungi

    Kutongoza au kujitongozesha kwa wanaume ni kazi sanaaaa! Sikia tu kwa wenzio

    We ni bonge la mwandishi nakuelewa sana yan nlikua nshazama kwenye hyo story gafla imeisha Napenda post zako sana unajua kuchombeza wachache wataelewa
  7. kaisiki kalungi

    Law course

    Nenda Tumaini ya dar iko vizuri
  8. kaisiki kalungi

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Jibu langu lilikua kwa mtoa mada na sio ww Sijalaumu historia na wala cjasema biblia haijitoshelezi iko complete ndo mana inatusaidia up to now na kuna historia pia ya biblia kama ilivo vitabu vingine vya kiimani ungejua hilo usingepata majibu ya maswali yako yote Mi naamini ktk biblia kama...
  9. kaisiki kalungi

    Maswali na majibu kuhusu Biblia (bible): Tukutane hapa

    Hii biblia tunayosoma sisi imechakachuliwa sana kutokana na kuitafsiri kwa lugha mbalimbali maana kamili hupotea Biblia iliandikwa kwa kiebrania km sikosei baadaye tafsiri zikaendelea pia kuna hii king james version ambapo king james aliamuru biblia ibadilishwe kwa mtazamo wake yy so kuna vitu...
  10. kaisiki kalungi

    Tumia njia hii kunasa mchepuko wako

    Na hata ukipata hzo password zake uwezi fanya kitu lazima ukutwe
  11. kaisiki kalungi

    The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti - Dr. Mwaka

    Mi naona ni ngoma droo maana hao wanaume si wachepuka na wanawake Kama kasi ya michepuko ikizidi basi wote ni wahusika
  12. kaisiki kalungi

    Jihadhari kukopesha ndugu fedha

    Yani cku hizi ukimkopesha mtu hela lazma ulie na ujutie mana kurudisha ni ngumu Mtu akiwa na shida anakua na uso unatia huruma ukianza kudai chako anaanza maneno Mi cku hz mtu akija kunikopa naanza kueleza shda zangu na mm ili tuwe ngoma droo.
  13. kaisiki kalungi

    Nahisi sina bahati ya kupendwa

    tatizo lako ndo hilo mbahili ndo mana wanakukimbia ......toa hela ikuzoee the more you give ndo the more itavokuja kwa kasi..
Back
Top Bottom