Za kitambo ndio kila kitu na zilikuwa na maana....nilijaribu kuangalia hapa juzi juzi za watu wapya ila niliishia kujilaumu mwisho wa siku muda niliopoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. I'd Rather Go Blind - Etta James
2. Crazy in Love - Julio Iglesias
3. On Bended Knees - Boys II Men
4. Incomplete - Sisqo
5. Walking Away - Craig David
Inategemea na maduka unayoenda mkuu....hata dukani pia fitting hufanyika na size husika kuendana na mwili na matakwa yako hupatikana.
Na hata bei pia inakuwa imechangamka zaidi na kuendana na bidhaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.