Wadada haya ndio yalikuwa mapenzi ya kweli

Mimi ni huyo niliemshika rafiki yangu mabega ambaye sasa hivi ni mke wangu
Duuh...! Mzee baba ukiniambia miaka ya 60 hapo. Kwamba sasa hivi umevuta age ngapi mkuu? Wewe ndio kabitozi katikati ya hao masholi wawili?. Ila kama ndio wewe wa kwanza kushoto,ulikuwa faraaa mbaya mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha... usinikumbushe S jirani na sista wa moro yule mwanaume alinipenda jamani jamani hapo mimi nipo form two bado kabichiiiii yeye six... nilikua nakaa hostel ile jioni jioni anakuja ananiletea mikate. .sukari. .peanut butter sometimes anamwambia shemeji yake ananikaangia dagaa ananiletea naweka kwenye makande au nalia dona la boarding serikalini mnalijua..dagaa anaweka na vitunguu vingii mafuta ya Kula mengiii na kapilipili kiasi kwamba nikichota mafuta kanusu kijiko tu na kumix kwenye kande au ndondo za shule vinanukiaaa kama vimeungwa vizuri vile..... nipo four yeye chuo UDOM mimi nishasahau kabisaaa alikuja na mazaga kibao nipo boarding kama kawa. .nipo 6 yeye keshaanza kazi hakuchoka kama kawa visiting day huyooo. .nipo chuo yeye kazi mkoa mwingine alikujaga kikazi alifika hadi hostel nilikuwa nakaa off- campus na siku hio roommate hakuwepo mweeh. ....

Patrick kumbe alikua kaoa na watoto watatu tehteh.. alinidanganya pindi mkewe kaenda kujifungua. .

Baba K alikua kaoa na watoto watano alitakaga hadi kunioa mke wa pili ila alisema mpaka anijengee nyumba ndo atanioa na alishaanzaga process ujana ujana na mambo ya mke wa pili mimi teiina dooh. ....

Ni story ndefu aseeee. . Hasa ya Patrick. baba K yeye huwa anatamani sana kuja kwangu walau apumzishe akili na mambo ya familia yake tukumbushie ila no way

Cc Smart911

[emoji26][emoji26][emoji26] najiskia kulia sjui nlikuwa na uzuri gani mimi kijana alininunulia sim yuko form 4 mi niko three B jaman Motorola afu atukufanyana nikaja olewa na jamaa mwingine mwingine tu nlikuwa namliza uyo analala bwenini tukizinguana mahondaw kumbushia apa mafataki yako najua we walikuwa adi wababa wakubwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha... usinikumbushe sele yule mwanaume alinipenda jamani jamani hapo mimi nipo form two bado kabichiiiii yeye six...

Patrick kumbe alikua kaoa na watoto watatu tehteh.. alinidanganya pindi mkewe kaenda kujifungua. .

Baba K alikua kaoa na watoto watano alitakaga hadi kunioa mke wa pili ila alisema mpaka anijengee nyumba ndo atanioa na alishaanzaga process ujana ujana na mambo ya mke wa pili mimi teiina dooh. ....

Ni story ndefu aseeee. . Hasa ya Patrick

Cc Smart911
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 umenikumbusha na makoloni mengine asee mudi wangu niko form two sjui yuko wapi likaka lile lilipanda hewani very hansam
😛😛😛😛
 
Duuh...! Mzee baba ukiniambia miaka ya 60 hapo. Kwamba sasa hivi umevuta age ngapi mkuu? Wewe ndio kabitozi katikati ya hao masholi wawili?. Ila kama ndio wewe wa kwanza kushoto,ulikuwa faraaa mbaya mkuu
Miaka ya 60 hakukuwa na 4 angle, wadanganye watoto waliozaliwa kipindi cha kikwete
 
Acha kabisa yani. .J yeye hadi Kipindi nimemaliza 6 naenda chuo bado alikua na barua yangu niliomjibuji wakati nipo form 1 ..tena niliiandika kwa kalamu nyekundu na michoro ya love kibao. ......

Kuna siku nipo hom akanioneshaga nilicheka sana.

Cc Smart911
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] umenikumbusha na makoloni mengine asee mudi wangu niko form two sjui yuko wapi likaka lile lilipanda hewani very hansam
😛😛😛😛
 
Acha kabisa yani. .J yeye hadi Kipindi nimemaliza 6 naenda chuo bado alikua na barua yangu niliomjibuji wakati nipo form 1 ..tena niliiandika kwa kalamu nyekundu na michoro ya love kibao. ......

Kuna siku nipo hom akanioneshaga nilicheka sana.

Cc Smart911
Kwaivo ndo mr saivi au bado unaminya minya nyanya baadae ununue kitunguu 🤣 🤣 🤣 ila mi bado tamkumbuka boy wangu yule M J alinipenda sana akanipa motorola tulikuja onana tuko chuo mi niko Moro ye UDSM, ila skuwa na hisia tena kwake 😥😥😥 kaoa juzi tu apa
 
Ila nae boya kweli alishindwa kugonga pamoja na mambo yote hayo aliyokufanyia hakukugonga?
Dah mabaharia wa zamani walikuwa wapole
Hahaha... usinikumbushe S jirani na sista wa moro yule mwanaume alinipenda jamani jamani hapo mimi nipo form two bado kabichiiiii yeye six... nilikua nakaa hostel ile jioni jioni anakuja ananiletea mikate. .sukari. .peanut butter sometimes anamwambia shemeji yake ananikaangia dagaa ananiletea naweka kwenye makande au nalia dona la boarding serikalini mnalijua..dagaa anaweka na vitunguu vingii mafuta ya Kula mengiii na kapilipili kiasi kwamba nikichota mafuta kanusu kijiko tu na kumix kwenye kande au ndondo za shule vinanukiaaa kama vimeungwa vizuri vile..... nipo four yeye chuo UDOM mimi nishasahau kabisaaa alikuja na mazaga kibao nipo boarding kama kawa. .nipo 6 yeye keshaanza kazi hakuchoka kama kawa visiting day huyooo. .nipo chuo yeye kazi mkoa mwingine alikujaga kikazi alifika hadi hostel nilikuwa nakaa off- campus na siku hio roommate hakuwepo mweeh. ....

Patrick kumbe alikua kaoa na watoto watatu tehteh.. alinidanganya pindi mkewe kaenda kujifungua. .

Baba K alikua kaoa na watoto watano alitakaga hadi kunioa mke wa pili ila alisema mpaka anijengee nyumba ndo atanioa na alishaanzaga process ujana ujana na mambo ya mke wa pili mimi teiina dooh. ....

Ni story ndefu aseeee. . Hasa ya Patrick. baba K yeye huwa anatamani sana kuja kwangu walau apumzishe akili na mambo ya familia yake tukumbushie ila no way

Cc Smart911
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom