Recent content by Kai Proctor

  1. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Mliokua DUCE kwenye Usaili wa mchujo wa TPA pitieni hapa

    Haya wakuu leteni mrejesho...nini kimejiri huko?
  2. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Jeshi letu linaonyesha umahiri wa kupigwa na tofali zama hizi!? Hawaoni wenzao huko duniani?

    wenzetu wanajenga cyber army, sisi tunavunja matofali
  3. Kai Proctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

    [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  4. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Tanzania tuna technolojia gani ya kujivunia kama wenzetu wa nchi za nje?

    Kufanya kilimo ni fresh kwa ajili ya kujiingizia kipato, ila alitakiwa asi-abandon taaluma yake namna hiyo, tena angejua code ina future dah, maana tunakoelekea ni kwenye automation ambako maprogramer kama yeye watahitajika.
  5. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Sababu tano za kufa kwa Bongo movie

    [emoji39] [emoji39] [emoji39]
  6. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili nafasi za kazi TPA

    Hivi hizi APTITUDE TEST si ndio ile mitihani yenye maswali ambayo yanakua hayako focused kwenye Kada husika? Mfano Mtu wa Computer Programming badala ya kumuuliza vitu ambavyo ni Programming related unamuuliza maswali ya Civics?
  7. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaweza kuniambia 'ideology' ya rais Magufuli

    mfwanye kazi
  8. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Madada Poa wa Corner Bar wamehamia wapi?

    Katalunya wanafanya kazi ila hamnaga hizo mambo, japo wahudumu wa hapo ni hot hot
  9. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Madada Poa wa Corner Bar wamehamia wapi?

    Pamepooa kweli
  10. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Madada Poa wa Corner Bar wamehamia wapi?

    Hahahahaa mkuu wewe ni Lejendare aisee, hands down
  11. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Madada Poa wa Corner Bar wamehamia wapi?

    Aaiii Njoo La Chaaz basi weweee
  12. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Madada Poa wa Corner Bar wamehamia wapi?

    Dah! Nimekuja mitaa hii ya Corner Bar zile mishemishe zilizokuepo hakuna tena, nimejivuta mpaka LA CHAAZ PUB nako pamoja na muziki mzuri ila ndugu zetu hawapo, mi sio mteja lakini huwa napenda kunywa sehemu wanapokuwepo, nna-enjoy kuwaona. Acha niende home tu nahisi na bia hazitakwea tena.
  13. Kai Proctor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mna nini na simu zenu?

    Yeye mwenyewe utakuta wala hajihangaishi na yako, kwanini usiombe akuongezee salio, na shida yako sidhani kama ilikua kupiga simu, ilikua ni kukagua simu,
  14. Kai Proctor

    JamiiForums Tanzania Karne ya 21 wanasiasa wanasema tuombee mvua inyeshe, kweli Tz ya Viwanda ipo karibu

    tunanyoosha nchi kwanza, mtulie
Back
Top Bottom