Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Wadada: "Ukijituma" mno kitandani huolewi ng'o!

Kila mwanaume ana vigezo vyake kwa amtakaye.
Mm napenda nikutane na team yenye mazoezi ya kutosha.
Mvivu kwangu hatakuwa na nafasi.
 
b3aafa5ed444fdf1cb398b9a0a0752dc.jpg
Halafu mmefanana kweli
 
Wanaume wanaompinga mleta mada bado akili zenu hazijawaza ndoa na kutulia chini kuanza maisha.
Bado mpo kwenye kuwaza performance ya kitandani ndo kila kitu kwa mwanamke.

Mauno ya kitandani hayalei watoto wako,,hayawapi wanao maadili mema,hayakupikii chakula,hayakuandalii mahali pa kulala upate kupumzika wala hayakuandai wewe unapotaka kutoka
Kama ni hivo wanawake wengi wangekua walio wazuri kitandani washaolewa,magogo yamebaki yanahangaika kujifunza mautundu.

Ndoa is beyond viuno kitandani..
Wewe ke au me?
Avatar yako inanifanyaga nidhani kua ni ke siku zote [emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndugu mtoa mada, kuolewa mbona kunawekewa masharti mengi hivi..kila wiki humu mmu mara thread hii mnasema mwanamke ukitaka uolewe fanya hivi mara fanya vile kwani kuolewa imekuwa kama masharti ya kutoka kwa mganga jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanawake tutakoma.Asa tutafanyaje..wao sindo wanaoa.Hamna ubishi.
 
Mbona wanaume mnawaza sana utazani nyie ndo mnakosa ndoa? Kwa yanayoendelea humu inaonyesha wanaume wanauhitaji wa ndoa kuliko wanawake .
[emoji28][emoji28][emoji28]ushaona eh.kila siku Lazima thread za ndoa na wanawake.Mara sjui makabila ya kuoa.sjui wanawake wachagga hawapendi kutuma full pic.Mara kuosha K,Mara waliosoma hawafai kuolewa..loh!
 
Back
Top Bottom