Watu kama Mkuu wa Mkoa huyu ni hatari sana ukiwa unafanya nao kazi. Hawaoni hasara kukuharibia

Hii picha tangu nilivyoiona kwa mara ya kwanza nilijua italeta maneno kwa mtaa!!!
Jamaa kama anamsujudu na kumuabudu JPM kama masiha kumbe anapalilia kibarua chake tu!!!!
Watz kwa unafiki tumepitiliza!!!!
 
  • Thanks
Reactions: ffq
Watu wanachanganya heshima na woga. Heshima ni kitu kingine kabisa na woga ni kitu kibaya sana. Woga unaleta husda,fitna,uchawi,umaskin n.k heshima ni kitu kingine.

Kiongoz mkakamavu anamsalimia rais kwa ukakamavu. Amenyoonya kabisa na amenyoosha mkono wake kwa heshima huku sura yake imetulia.hiyo ndo heshima na ndo ukakamavu.

Kama umesoma soma kidogo psychology au lugha kuna kitu kinaitwa body language...ukiiangalia hiyo picha utapata majawabu mengi sana. Kuna ishara ya woga,kuna ishara ya kutojiamini. Otherwise angesimama wima kikakamavu na kunyoosha mkono kwa rais kumsalimia. Then rais angetoa mkono wake mmoja na mwingine ungemshika jamaa began au mkononi.

Miafrika ni kma waarabu wengi.wanapenda sana umwinyi na nidhamu ya woga. Rais anaheshimiwa na inapaswa iwe hivyo na si kuogopwa.kwa wenzetu rais ni mtumishi wa wananchi.sisi tunachagua mtu wa kumtumikia.....mfalme.
 
kabila moja huwa wanawake hawatakiwi kuwatizama wakwe zao usoni. Hivyo wanapokuwa wanaongea nao wanainamisha vichwa kama hivi. Hii si heshima ni woga.
 
Hapa si heshima. Kwanza ni woga pili ni dharau. Nenda kaongee na baba yako au boss wako umeinama unacheka cheka uone kama ana akili atakuonaje.
Hizi si tabia zetu sisi tunaojua heshima.tunaojua heshima tunasalimia tukimtizama mhusika huku tumesimama namba MOJA kwa ukakamavu.


Umekosa la kuandika raisi ni mtu makubwa sana na
ukubwa tumempa sisi wa TZ hata Mimi na wewe tukikutana naye lazima tufanye hivyo
 
Ukimwangalia mkuu wa mkoa wa dodoma bwana jordan rugimbana jinsi anavyojichekesha na kuinama kwa woga unagundua ni aina ya wale watu ambao ni wazuri sana kwa kujipendekeza kwa wakubwa.

Muone alivyomshikiria dr magufuli kwa mikono yote miwili yaani hapo kidogo tu angepiga na magoti. Ukiangalia juu juu unaweza sema ana heshima sana kwa rais. Hapana.ni unafiki na kujikomba.hapo chochote atakachosema rais yeye atacheka tu na kuitikia. Hawa ni watu ambao huwa wanaish kwa hewala bwana...

Kama ni heshima nenda kaombe kazi au kafanyiwe interview na watu wenye akili zao halafu uwe unacheka cheka unainama hivi ili wakuone una heshima wakupe kazi. Haya utayaona sana nchi za afrika.nchi za watu huko huyaoni.ni sisi tu binadamu tunafanya hivi.

View attachment 500789
Samahani Gu dume, hv yule dume suruali wa humu jf ni ndugu yako?
 
Ngosha kiboko,anamgeuza mwanamume wa shoka kuwa kama Bawabu wa kasri la mfalme
 
Mkuu ukitaka kujua thamani ya cheo muulize yule mzee wa Morogoro! alilia sana! i thought now amekubali matokeo
 
6.jpg

mikono miwili
 
Back
Top Bottom