Recent content by KAHUSE

  1. K

    NAOMBA MSAADA KUHUSU TATIZO LA PESA ZA MIRATHI

    Kaka yangu alifariki Jan 2017. Mei 2017 mirathi ilifunguliwa mahakama ya mwanzo Temeke. August 2017 hundi za pesa za mirathi ziliwasilishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kugawiwa kwa wahusika. Tumefuatilia mahakamani hapo hadi Dec 2017 wakasema faili wamepeleka mahakama ya Wilaya Temeke na kwamba...
  2. K

    Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Yaani ume hit penyewe!! Mwenye hoja nzito amjibu everhurt!! Kuna watu wana stereo type kuhusu single parents!! Wengine hata maana sahihi ya hilo neno hawajui!! Nimeipenda hoja yako!!
  3. K

    Mama Mkwe wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi. Nimemwambia jamaa yangu ushauri wake...

    Serious NO na Hapana ya kiswahili zinajulikana. Ungekuwa serious wala huyo mama asingerudia!! Wewe ni DHAIFU!!!
  4. K

    Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Jamani nguvu za kufurahi unatoa wapi kwa hayo yalikukuta???*[emoji15] [emoji15] [emoji15]
  5. K

    Rais Magufuli atengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Muhongo

    Nilifundishwa na mama kuingiza kwenye akili yangu mazuri ya watu na vitu!!! Wakati nafarijika na uamuzi mzuri wa Mh. Rais, pia natafakari mazuri yote aliyoyafanya Prof. Muhongo!! You did your best!! Nenda Prof.!!!
  6. K

    Tangazo La Tigo Jazwa Ujazwe Lina Ukakasi

    Watu bwana!!! Mawazo hasi tuuu!!! Tangazo zuri tuuu!!
  7. K

    Zaa mtoto mpelekee baba yake akamuue kama ni rahisi

    Hakika walee mimba na wazae!! Kisha kama mwanamme hataki basi yeye ndiye aue!!! It makes sense!!!
  8. K

    Boko Haram yawaachia huru mabinti 82

    Kuna comments humu unaweza kuogopa!! Tumetoka kabisa kwenye mada baadhi yetu na tunaeleza mitazamo yetu hasi dhidi ya imani za wengine. Tunaweza tusijue, lakini hilo ni jambo baya kulikoo!!!
  9. K

    Nilizaa na mwanamke mtoto wangu kapewa mume mwingine, nifanyeje?

    Kimsingi mtoto ni wa mume wa mzazi mwenzio. Wewe ulichangia mbegu tu. Sperm donor!! Kama unaguswa na hali ya mtoto, tumia hao hao ndg mwanamke kupanga matunzo ya mtoto bila mume kujua. Unaweza kuwa kama mfadhili tu na mtoto akasoma katika mazingira bora na kukua vizuri. Mengine acha muda uamue...
  10. K

    Mchumba hataki kusex anataka kulipa mahari

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  11. K

    Mchungaji Gwajima ni nani? Tukianzia hapa Tutajua namna ya Kudeal na watu aina yake

    Mimi niliposikiliza ile clip, nilisema moyoni kuwa kweli kuna wanawake wanajua kuzaa vitu!!!!
  12. K

    Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Na wengine wanajuwa hayo madhira yote na wanakuwa tayari ili muradi kuna pesa. Tuna taarifa za wasanii na wadada maarufu walioenda arabuni kisa tu kuna biashara fulani ya hovyoo inalipa huko zaidi kwa sababu haipatikani kwa wenyeji. Tufikie hatua ukweli usemwe ili tutatue tatizo. Nachukia kweli...
Back
Top Bottom