Recent content by kahupwe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kama Raisi Magufuli na CCM hawataki mfumo wa vyama vingi nchini waseme wazi badala ya kufanya hujuma

    Mbegu wanayoipanda karibu inaota wasifikiri kwamba Tanzania ipo mbinguni tunaomba mungu apishie mbali.Lakini hawatakwepa lawama.Labda wanatengeneza uraisi wa maisha.
  2. K

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Singh Sethi na Rugemalira wanyimwa dhamana, wapelekwa Keko

    Makinikia kwanza singa singa baadae wapi hela yetu?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Kimataifa ya Ushauri kwa Bodi ya Wakurugenzi na Watendaji ya Barrick Corporation Group...

    Kama kawaida yao watajaza makada wa CCM.Wakifikiri wapo kwenye kampeni.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wakati yote yanafanyika Usalama wa Taifa walikuwa wapi?

    Muulize Roma atakuambia kazi yao.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Watanzania wangejua hii historia ya Bulyankulu na Mwadui wangelia hata zaidi

    Ni wakati wa kubadilisha katiba tu.Mwarubaini ni hiyo ndiyo itaua vimemo vya kutoka Magogoni kwenda kwa mawaziri.Je na wabunge wa chama tawala wanajifunza nini?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jina Dkt–Muhimbili aliyetaka kuhonga timu ya Makanikia

    kwa hili namuunga mkono Mh.Raisi.Wasiwasi wanu ni je wabune hawa wa CCM,wana uzalendo kweli na moyo kama wa Raisi?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Eeeh Mungu, Mlinde, na Mkinge, Tundu Antipas Lissu

    kawaida.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, Nini dawa kwa WanaJF kuhamahama na Matukio? Tumeitupa ELIMU ili tukumbatie habari mpya ya Madawa

    Makonda kamsaidia boss wake mjadala wa elimu usiendelee Elimu bure na matokeo bure.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu viwanja vya mpira: Polepole kasema Uongo

    mahakama ipi ya kuipelekea kesi ya viwanja?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sioni umhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani kama haya wameyaangalia tu.

    Naona umesahau kuwa mabwana ndiyo ni wengi.Wakileta mdomo wanapigwa milioni kadhaa.Nadhani anaepaswa kulaumiwa ni Lugola na timu yake.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyezaliwa 2004 mwaka huu anamaliza la saba, Mbowe na CHADEMA mnaujua ukweli huo?

    Kaanze na Wasira Mbowe ajawai kuongoza nchi.Hata CCM nao nusu karne hawana jipya sasa.Waachie ngazi.Kubadilisha watu lakini siasa ni zile zile zilichoka,haziwezi kuifanya CCM kuwa mpya.Chupa mpya mvinyo wa zamani.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: Lowassa hawezi kuwa Rais 2020, CHADEMA wanahusika kunichafua

    Aaache kujidhalilisha angalau heshima kidogo iliyobaki watu waendelee kuwa nayo.Ajifunze toka kwa Kakobe.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Elimu ya Msingi: Mwisho kuwa darasa la sita

    WABADILI KASKAZINI IWE KUSINI.
Back
Top Bottom