MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Kumekuwa na matatizo makubwa sana ambayo yanawapata watanzania lakini wamekoswa watetezi badala yake wapinzani wanakaa kujiimarisha kisiasa hawataki kuiwajibisha serikali hii bunge limekoswa meno.
01: wanafunzi wamekoswa mikopo elimu ya juu wabunge wako kimya tu amekosekana wa kulitetea swala hili kizalendo.
02: kuwasitishia ajira zao vijana 3000 walioajiriwa mwezi June 2016 kanda ya mahakama ,mikoani nk walisainishwa mikataba yote na walianza kazi baada ya kuanza uhakiki walirudishwa nyumbani hawa vijana wamekoswa wa kuwatetea.
03: wananchi kubolewa nyumba zao bila utaratibu wowote wamekoswa wa kuwatetea.
04: kushindwa kusimamia kamati ya maafa ili serikali iwape wahanga wote fedha zao rambirambi walipopatwa tetemeko la ardhi wamekosekana wa kulisimamia.
05: kushindwa kusimamia zoezi LA uhakiki watumishi hewa liishe ili watumishi walipwe haki zao amekosekana mtetezi wa wanyonge.
Wabunge wamekuwa bendera wanafata upepo tu ni vigumu kumtofautisha mbuge wa ccm na chadema labda unaweza kuwatofautisha kwa sare za nguo zao lakini hoja zao zinafanana.