Recent content by kahama one

  1. kahama one

    Stress za Ndoa ndo zimeniokoa (Najibu shutuma)

    Mi Niko ma tabia Kama hizo siwez kukaa na demu permanent mi ni eat n run na hara marafik Sima permanent niliokoka na penyewe nikashindwa.Inafikia wakati hata jina langu nalichoka kifupi cjielewi kabsa
  2. kahama one

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Hii story ungeiweka katika movie ungetisha mkuu dunia nzima wangetujua watz kua na sisi tunaweza.Hadith Hii IPO level za prison break,24hours.Hongera mkuu keep it up
  3. kahama one

    Riwaya: Nitakupata tu

    Du kwel Ibra bigup mkuu kwa kaz nzur
  4. kahama one

    Riwaya: Konstebo Zungu

    C Ibra wala mzaramo wote ni walewale
  5. kahama one

    Riwaya: Nitakupata tu

    Weekend hii ungetupia episodes za kutosha mkuu
  6. kahama one

    Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Mboma mnazingua? Goli ni 1-1 au2 -0?
  7. kahama one

    Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Yanga ataongoza kipindi cha kwanza na Simba ataongoza kipindi cha pili Yani matokeo ni droo ya goli mojamoja
  8. kahama one

    Ukitaka kuoa au kuolewa usukumani, yajue haya

    Ushamba wa mtu si Kabila bali tabia
  9. kahama one

    Riwaya: Nitakupata tu

    Story inavutia sana
  10. kahama one

    Kwanini matajiri wa Yanga wamemsusia Manji hadi anateseka na kuaibika hivi?

    Tunakuhitaji mwenyekiti wetu uwe huru.Mi mwenyewe sifurahii hata kidogo we kua mahabusu.
  11. kahama one

    Riwaya: Konstebo Zungu

    Mzaramo yumo Nina uhakika asilimia mia.We huoni watu tuna arosto za kufa mtu.Kila wakati tunachek kama kaweka lakin tunaambulia patupu
  12. kahama one

    Riwaya: Konstebo Zungu

    Mzaramo,yusuph manji kasema hawezi subiri folen YA watu 65hivyo ataenda kesho kuhojiwa.Sa mkuu c na wewe ushushe vitu Leo ili ijumaa uende kuhojiwa pasipo malalamiko yetu maana Kila mda tunaperuzi Lakin hujatupia kitu na matatzo haya yameanza toka makonda alipotoka na orodha yake.Ndo ukaanza...
  13. kahama one

    Mke wa mtu ananing'ang'ania

    Na wewe mke wako anagongwa na jamaa tena Hua anamsifia kweli kua jamaa Ana weza.What goes around comes around
Back
Top Bottom