Riwaya: Konstebo Zungu

Riwaya: Konstebo Zungu

Asantee mkuu mzaramo hadithi nzuri uandishi mzuuri, naendelea kuusubiri kwa hamuu tuu usitukatishe njiaani
 
vipi Mzaramo , na wewe umeitwa ?, au ndio wale wenyeviti wa mitaa.
 
Mzaramo,yusuph manji kasema hawezi subiri folen YA watu 65hivyo ataenda kesho kuhojiwa.Sa mkuu c na wewe ushushe vitu Leo ili ijumaa uende kuhojiwa pasipo malalamiko yetu maana Kila mda tunaperuzi Lakin hujatupia kitu na matatzo haya yameanza toka makonda alipotoka na orodha yake.Ndo ukaanza kuweka kwa kusuasua
 
kwahyo mzaramo nae yupo kwenye list ya makonda hahahhh
 
Mi nahisi George hajatoa mwendelezo ndio maana jamaa kashindwa kudesa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom