Wizara ni nyingi sana then zinafanana so ningeunganisha kama ifuatavyo'
1)Mahusiano na Utaratibu
2)Utawala Bora
3)Utumishi
Hii ingekuwa Wizara moja Waziri mmoja na Naibu mmoja
1)Uwekezaji na Uwezeshaji
2Mazingira
Hii nayo ingekuwa wizara moja Waziri mmoja na naibu mmoja
1)Mambo ya ndani
2)Katiba...
Wewe Kunguru Mweusi kama unavyojiita acha UDINI kumbuka kwamba mwanzoni baada ya Kikwete kuchakachua kura na kutangazwa kuwa Rahisi na sio Rais alichagua waslam 3
1)Shamsi Vuai Nahodha
2)Makame Mbarawa
3)Zakhia Meghi na pia kumbuka huyu wa leo Saada Mkuya Saluum ni mjahidina pia kwa maana hiyo...
Safiiiiiii Peoples Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrr leo ni bia kwa kwenda mbele mtu haniambii kitu hadi raha Magamba kwishaaaaaa na kile kizee chao Makamba kilichokuwa katibu Gamba wamepata aibu ya mwaka
Huyo Kikwete mwenyewe anayechagua baraza hillo saa ingine anashindwa kwa kuwa wote walioko kwa chama chake ni kama yeye tu hawana sifa yeyeto ni wezi wote soo Magamba wanavyosema ooh huyu atafaa hakuna kitu ni kama wale wale tu kina Ngeleja wakati wanachaguliwa mlisema hawa wachapa kazi na...
Lazima tuelewe kuwa nchi mbili ndizo zilifanya muungano yaani Tanganyika na Zanzibar so hapa the issue ni kwamba muungano uvunjwe then kila watu wawe na serikali yao sie tubaki Tanganyika na wao Zanzibar then basi tukae chini tena ili tuwekeane mikataba ya muungano kama vile Europeen Union then...
Michuzi always kama Chadema wanapoteza kitu huwaga yeye ndio wa kwanza kutoa kila kitu mara utasikia Mbunge wa Ccm katema cheche mara sasa hizi taswira bila shaka leo ana raha sana yeye si mwana Gamba maake naona kile kiblog chake kila leo kiko Ikulu ya Gamba mkubwa duuh njaaaaa njaaaa njaaa...
Hana lolote Ke...ng..e mkubwaa huyo alijifanya sana kule Igunga sasa atakula kuona na hata akate rufaa hapati kitu kwani alitoa rushwa nje nje na bado tu hata waandishi waliokuwa wanafuatilia kesi hii kawapa rushwa ya kutisha ili wasitoe uozo wake akafie mbali huko hana issue tuachie tuchukue...
Na bado watakuja sana kwenye chama cha ukweli,Magamba chao kwisneiiii sasa gharika inakuja ngoja hizi kesi za Makamanda ziishe then ndio watatia akili Magamba na serikali yao
Hivi huyu Dr Bana kaupata wapi huu Udr maana yeye siku zote yuko na mawazo mgando sasa huu Udr wake unasaidia vipi nchi hii yaani huyu mtu sifahamu kama kweli ni raia wa nchi hii au vipi yeye mafisadi wakipelekwa puta kwake ni kosa,mawaziri ambao wanafuja hela za walipa kodi yeye anatetea sasa...
Sasa huyu MAKUPA katumwa na nani aandike humu kwa watu wanaofikiri zaid i mara milion,yaani wewe MAKUPA kupewa Computer kwa dakika chache ndio imekuwa tatizo la kuandika huu uchafu humu Aisee pole sana na huyo aliyekutuma mwambie jamaa wanasema kama unakereka basi jinyonge au jifungia chumbani...
Hapa tatizo ni huyu mama mwenye sura m.ba..ya kama Ken..ng...e anashindwa kabisa kusimamamia sheria zinavyosema naa yeye anaadeal na watu waliomuweka madarakani kuwakingia kifuu na pia kuzui Bunge kuwajadili pie yeye hana nia njema kabisa na nchi hii kwani sasa anajijengea maisha ya kuustaafu so...
Watanganyika wenzangu inaakuwaje kiongozi yeyeto yule awe Rais au Mawaziri wakiulizwa maswali kama vile matatizo ya maji,umeme,mfumuko wa bei za vyakula nk, hawatoi majibu ya kueleweka mara utasikia wakisema ooh shida ya maji sio Tanganyika pekee au umeme na mfumuko wa bei ni kwa Dunia nzima...
Huwaga nasikia ati wasambaa wana jua sana yale mambo yetu yaleee hivi ni kweli??Pia nasikia wanajua sana kulea wanaume na kupiga hapo ndio kabisa.Naomba kuwafahamu hawa watu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.