Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,731
- 749
Unaweza kuona tu a generational tag of war! Makongoro asigombee next time maana atazalilishwa na vijana!
Leo baada ya judgement ya mahanga
The lads are in high spirits despite loosing the petition.Kwani Peoples Power ndio imeshinda au fujo tu vijana ?:heh:
Yaani hapo tu ndiyo nilipoachwa mdomo wazi!! JK kaona atakosa wakusukia baraza jipya, huyu jamaa lazima awepo!!Yaani ni kheri angeshnda Aesh WA Sumbawanga kuliko huyu Mahanga si alikamatawaga na mabox ya kura uyu au vyombo vya habari vilitudanganya?
Hivi ushadi kama uliotolewa na mpendazoe kama CCM Arusha wangetoa uchahidi wa wazi namna hiyo kuna mtu angelala mika kuwa Lema kaonewa...Lakini leo cha ajabu ushahi uliowazi kabisa unatumbiliwa mbali halafu mnasema tuwasifu majaji....Watende haki bila kubalance kama marefa wa Tanzania....Wakati mwingine tujitahidi kuwa neutral, yaani mahakama zinakuwa siyo huru pale tu anaposhindwa wa CHADEMA, lakini tukishinda, tunapongeza na wala hatuna habari ya kujua kesi ilikuwaje. Kwa wengi tusiyejua sheria, nafikiri ni vema kuwa wapole na kuwasikiliza wataalamu wa sheria juu ya makosa ya kiufundi yaliyofanyika ama katika ufunguaji wa kesi au utaratibu mzima wa uendeshaji kesi.
Wakati mwingine tujitahidi kuwa neutral, yaani mahakama zinakuwa siyo huru pale tu anaposhindwa wa CHADEMA, lakini tukishinda, tunapongeza na wala hatuna habari ya kujua kesi ilikuwaje. Kwa wengi tusiyejua sheria, nafikiri ni vema kuwa wapole na kuwasikiliza wataalamu wa sheria juu ya makosa ya kiufundi yaliyofanyika ama katika ufunguaji wa kesi au utaratibu mzima wa uendeshaji kesi.
HAKUna aliyeshindwa wala aliyeshinda mi naamini mahakama za Rufaa kuliko hizi mahakama ambazo anakaa mtu mmoja wale wengi ndio watanionyesha haki na uwezo wao wa kufikiri bila Bias
Umeongea vema sana mkuu ushauri mzuri.ninawaza hili jambo la watu wachache,wateule kuwa juu ya sheria.Kinachoonekana mara baada ya kukamatwa na masanduku ya kura mkuu wa kituo cha polisi buguruni aliamrishwa na wenye nguvu asiandikishe tukio hili kwenye Report Book ya Polisi yaani RB.Polisi huyu kwa kuchunga kibarua hakuweza kuikana ajira aende Mahakamani aseme bla lba bla na aseme alivyoamrishwa.Je ukionesha CV ya uwongo kuwa unayo PhD ukijua kuwa umeinunua siyo kosa katika sheria za uchaguzi?Mimi namwomba Mpendazoe kwanza aangalie uwezekano wa rufaa baada ya kesi kupitiwa na mawakili Tundu Lissu, Marando, Mbogoro,Kimomogoro, na huyo Kibatala kama interim measure.Sasa wana CDM wa Segerea mna miaka mitatu ya kujenga CDM Segerea na wakati Mpendazoe anatafuta haki Chama kijengwe watu wakae mkao wa uchaguzi ili tusikosee popote 2015.Kwa hali yoyote kuna systemic corruption hapa nchini kwenye EXECUTIVE na JUDICIARY na woga au nidhamu ya woga na hii ni liability kubwa sana kwa HAKI.Namwamini Shabaan Robert kuwa -KWELI ITASHINDA KWELI KAMA SI LEO NI KESHO
Connecting the dots............ It sound like someone we know................FF!!!!!!
Ccm oyeeeeeeeee!
Ccm ccm ccm
kidumu chama tawala cha ccm
Nafikiri bado kuna nafasi ya kukata rufaa. Tufanye hivyo. But tukisimama mbele za watu na kulalamika tutaonekana wa ajabu. Kwanini kesi tunazoshindwa tu ndo tunasema tumeonewa halafu tunazoshinda hatusemi chochote?Hivi ushadi kama uliotolewa na mpendazoe kama CCM Arusha wangetoa uchahidi wa wazi namna hiyo kuna mtu angelala mika kuwa Lema kaonewa...Lakini leo cha ajabu ushahi uliowazi kabisa unatumbiliwa mbali halafu mnasema tuwasifu majaji....Watende haki bila kubalance kama marefa wa Tanzania....