Nauza gari hili, bei nzuri kabisa. 5.7 mil negotiable. Lina 1490 CC, 1998, Registration ASE, Ina sports rim, mileage chini ya 125,000. Engine safi haijawahi kuguswa. Ilipigwa rangi za bamber ya mbele na nyuma tu lakini ina original colour. Ni safi ndani na ina AC kali. Linatembea.
Email me at...