kuna raha yake lakini kazi ipo kwetu sisi ambao baba mkinga na mama msambaa.sasa hapo hata ukioa mkinga au msamba bado haina maana ya kabila moja.labda utafute mchanganyiko kama wako.
lokholo ndeti?

Kweli kabisa nakubaliana na wewe. Kabila ni catalyst muhimu sana.
Ndugu wana JF,
Asalaam aleikum. Mmezoea kuniita mwenye matatizo lakini leo nimekuja na wazo hapa. Mi naona ndoa za wale ambao waliolea kwao au mke na mme wanatoka Mkoa mmoja naona wana raha zaidi kuliko sisi tuliooa makabila mengine haya. Kuna wakati ambapo ungapenda kuongea kilugha, lakini unashindwa. Mfano, mimi akija mdogo wangu nikiongea nae kilugha naona mke anakuja juu nakusema tuongee kiswahili. Utamu wa hadithi ni lugha, na lugha yenyewe ni ile ya mama na sio ya mke. Hili halihusiani na ukabila lahasha kwa maana upendo hauna ukabila wala dini. Lakini nahisi wenzetu wanaoongea lugha moja ndoa zao zinadumu zaidi na upendo unakuwa bomba kila wakati. Wewe unaonaje na mme wako au mke?

nakuunga mkono asilimia 200% .jamani kuoana lugha moja/kabla moja safi sana.hii ya kutoka kusini unaenda kaskazini ,siikubali kabisaaaaaaaaaaa.Utamu wa pipi mate yako bwana kaa!.raha ya utamu wa lugha ya mama bwana ,mkiijua na watoto wakikijua safiiiiiiiiiiiiiiiii sana.
Hapana wiliyeye, usiingie kwenye ndoa na Mizani ya Adam, nina maana gani usiangalie ndoa ya mwenzio ukafananisha na ya kwako, au ya wazazi wako ukataka na wewe yako iwe hivyo la hasha kaka yangu, Ndoa ni kama nchi na wewe mume ndiye Rais( kichwa cha Nyumba) sasa unatakiwa kwanza uwe strong, pili uwe na maamuzi magumu na mepesi, Tatu penda familia yako no matter what happen inside of ure house.
sikatai sisi wanawake saa zingine tunamatatizo yetu, ila ukiona mkeo hakujali, hakupigii pasi, ukirudi home hakupokei, embu fanya wewe akirudi mkeo mpokee, mjali , nguo zako usikubali housegirl afue fua mwenyewe na piga pasi mwenyewe utaona mkeo atakavyoogopa , na amini Mungu kuanzia hapo atakuwa nafanya hayo majukumu yake.
Lakini kama yeye hafanyi wewe unamwachia Housegirl ndipo hapo unaanza kumtamani , kwa kuwa mnakuwa karibu, usikubali hayo mazingira Wilyeye.