Mmiliki wa Hotel ya Malaika Mwanza ni nani?

Hiyo hoteli ya Malaika sio State of the Art. Ikiwa rated sana sana 2 star. Ila Ina mandhari nzuri.
Sijui ni ya Nani ila management nzima ni wahindi.
 
Jamani mi nafikiri huyu jamaa anataka kumjua mmili, ila shida yake anataka kuomba kazi 2 na c vingine.
 
sina hakika kama kweli huo ni uwekezaji unaotakiwa tanzania kwani ujenzi wenyewe umekiuka sheria ya mazingira jengo lilitakiwa kuacha mita 60 kutoka ziwani sasa linyewe lipo ndani ya ziwa
 
sina hakika kama kweli huo ni uwekezaji unaotakiwa tanzania kwani ujenzi wenyewe umekiuka sheria ya mazingira jengo lilitakiwa kuacha mita 60 kutoka ziwani sasa linyewe lipo ndani ya ziwa

Na Wah. Tibaijuka na Therezya wanasemaje kuhusu hilo?
 
Anaitwa Ridhiwani. Hapa ndipo baadhi ya wahariri walikosa vyumba
walivyobook, kisa, eti Ridhiwani alikuwa ameweka wapambe wake wa UVCCM.
Mzozo ulikuwa mkubwa hadi RPC Mwanza alifika. Baadaye huyo kijana
anayeitwa Ridhiwani Kikwete alikuja kuomba radhi, akijitetea kuwa
hakuzuia vyumba na wagei wake walikuwa wameondoka asubuhi ya siku hiyo.

Ya baba ake(mkulu) sio ya Riz moko
 
Hoteli ni ya Riziwani, hili ndo jibu

...Hotel hii....Riz1
...Hotel ile ...Riz1
...Kampuni ile ya malori...Riz1
...Kampuni hii ya Mabasi...Riz1
...Bungalow lile la Kifahari...Riz1
...Flats hizi za kupangisha....Riz1
...Ekari hizi 100....Riz1
...Ekari zile 500....Riz1
...Vogue hii...Riz1
...BMW ile...Riz1
...Uwanja wa Taifa...Riz1
...Mapango ya Amboni...Riz1...

...Huyu Jamaa naona sasa mnampa Ujiko na Uzito hata asiostahili...:eek:hwell::nimekataa

 
Back
Top Bottom