Harufu mbaya kikwapa: Wanaume wako pia.....

Mkuu ongezea na kunuka mdomo aisee inatia sana kinyaa unakuta jitu zima lina familia lakini linanuka mdomo balaaa.

na hapo ongezea mtu anaeongea anakulowanisha mate....Kila akiongea mate yanafyatuka fyaaa!
 
Afadhali ungemchukua huyo mwenye kikwapa, ungemtafutia tiba mbadala, na ungekuwa na amani kwenye ndoa yako, kuliko anayenukia halafu huna amani ,matokeo yake, unalala kinondoni, moyo, akili na mapenzi yako kimara!! Lipi Jema hapo Wiyelele?

Hahahahahahah :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:! We Lisa mbona umenivunja mbavu asubuhi hii. Tatizo langu mtu akiwa na harufu ya kikwapa, ambayo anaweza kuondokana nayo na hataki... Je atakuwa muelewa kwa mambo mengine? How soon could she cope up with my pace? Bora moyo ulale Kimara, na kiwili wili nikiwekeze huko Kindondoni.....
 
U supporse to pay me, because I make ure day!na nimekuongezea maisha.
Unajua wiyelele, mapenzi ni kitu cha ajabu sana, huyo anayenuka kikwapa ukimpenda utamuogesha na utahangaika hicho kikwapa kitaisha, hata kama ni mvivu utamnyoa wewe, na kumuogesha na kumtafutia manukato yote ili awe pale unapotaka wewe, na yeye ni mwanadamu akiona wewe unahangaika sana yeye ainuke na awe smart lazima na yeye atakuwa anajituma hatimaye ataweza kufanya unalotaka. Unajua katika maisha siku zote tunalearn from others, so anakuwa anajifunza taratibu mpk anaweza.
 
Wiyelele hapa huyo mke wa jamaa anaweza kuwa anahusika au hahusiki masikini ya mungu. Kuna wanaume wengine ni tabu tupu ... yani hawajipendi. Hapo unaweza kuta wife kaplay part yake lakini jamaa ndo hivooo... Shati kakupigia hapo 3 days, kwapa kafuga unyasi wa hatari, kuoga kwenyewe anaoga kama mtoto angrrrrrrrrrrrr...., huko down stairs ndo sipati picha.

I hate this. USAFI UNAANZA KWA MTU MWENYEWE kwakweli.
 
Last edited by a moderator:

Kweli kabisa, although there are exceptions to general principles. That is why we there are different schools of thought on the same issues.
 
Wiyelele hapa huyo mke wa jamaa anaweza kuwa anahusika au hahusiki masikini ya mungu. Kuna wanaume wengine ni tabu tupu ... yani hawajipendi. Hapo unaweza kuta wife kaplay part yake lakini jamaa ndo hivooo... Shati kakupigia hapo 3 days, kwapa kafuga unyasi wa hatari, kuoga kwenyewe anaoga kama mtoto angrrrrrrrrrrrr...., huko down stairs ndo sipati picha.

I hate this. USAFI UNAANZA KWA MTU MWENYEWE kwakweli.

Hahahahaha! neggirl mbona unaanza kutoboa siri za watu hapa! Cha kufanya kama ni mke, inatakiwa amsuke mafundo jamaa akiwa amelala. Akiamka na kukasirika, amueleze ukweli kwamba hapendi anavyofuga msitu wa pande... Mbona naskia wanawake wengi wanapenda msitu wa down stairs sana? Kuna ukweli wowote. Mi najua kuhusu moustache ndefu tu...japo sipendi kuufuga hata kidogo maana naona kama uchafu.
 
Unajua kuna vitu viwili watu hawaelewi, kuna kikwapa cha uchafu na cha asili.

Hawa wenye vikwapa vya asili ni balaa, anaweza kuoga asuhuni safi akaenda azini ile purushani ya daladala na kutembea kidogo tu, atatoa harufu kama kuna mzoga wa mbwa pembeni!!

Watu hawa huwa nawaonea huruma sana. Sasa sijui huyo mtu anaangukia group gani hapo?

Ila mimi naamini perfume inaweza kuwa tiba. Wanatia huruma ila pia wanakera sema tu tatizo sasa wanakuwa wao wenyewe hawajui na hamna namna unaweza kumwambia.
 
Umewahi kukutana na mtu mwenye harufu mbaya ya kikwapa? Mwaka jana, nilikuwa ofsini nafanya kazi kama kawa mida ya ashubuhi. Pembeni kulikuwa na chai yangu. Aliingia dada mmoja hivi, du! Hata hamu ya kunywa chai iliishia hapo. Japo alihitaji ushauri wa kitalaam, nilimvumilia sana na nilipomalizana nae, ilinibidi nifungue madirisha yote ili harufu mbaya itoke. Alikuwa na harufu ya kikwapa ile mbaya, japo alivaa vizuri sana na ni mrembo.

Jana tu nilikuwa na mkutano kwenye ofisi moja kubwa. Jamaa niliekaa nae karibu balaa! Sijui aliweka mzoga wa panya kwenye kikwapa ata sielewi. Nilipomtazama vizuri, nikakuta ana pete ya ndoa! Nikajiuliza hivi mke wake hasikii harufu hiyo? Jamani, huenda huyu mtu anasoma JF hapa, hebu msaidie aondokane na harufu ya kikwapa. Mezani tuliwekewa juice ya azam na korosho wala sikugusa kitu, hata maji sikunywa kabisa.

Wewe mke wa huyu jamaa, huoni aibu? Au na wewe una tatizo la kikwapa? Watu wengine bwana...
sio kikwapa tu wengine wanaharufu ya uvundo yani akiinuka tu harufu...kinooma..daah nashukuru mpenz wangu mim hanuki..ingawa na mim spray ikiisha inakuaga blaah...
 
Mwanamme atanishinda kama halali kwangu

Lakini kama kila siku analala kwangu hawezi nishindwa

Nitanunua vitu vyote mie, kinyoleo, after shave, na nitakikisha namnyoa hata usingizini

Na nguo zake za kuvaa itabidi niandae mwenyewe, nampangia kwenye kitanda kama navyofanya kwa watoto wa shule

Ya nini aniaibishe? Mwishowe tukutane barabarani na mashosti nimkimbie bure?

Wiyelele hapa huyo mke wa jamaa anaweza kuwa anahusika au hahusiki masikini ya mungu. Kuna wanaume wengine ni tabu tupu ... yani hawajipendi. Hapo unaweza kuta wife kaplay part yake lakini jamaa ndo hivooo... Shati kakupigia hapo 3 days, kwapa kafuga unyasi wa hatari, kuoga kwenyewe anaoga kama mtoto angrrrrrrrrrrrr...., huko down stairs ndo sipati picha.

I hate this. USAFI UNAANZA KWA MTU MWENYEWE kwakweli.
 
Kongosho hii nimeipenda sanaaaaaaaa....

ila angalia akiamka asikudai nywele zake lol...

To be pricise kuna jamaa alitokaga kwenye heka heka akidai ngozi yake (g.vi) .. kisa wife alimbana hadi akakatwa, sasa wamekorofishana wanataka kuachana jamaa kagoma kamwambia paka unirudishie ngozi yangu coz kabila langu halifanyi hyo kitu lolz. Kesi ilifika hadi kwa Serekali za Mtaa.
 
Last edited by a moderator:
HE he he, akidai nywele zake namshonea weaving

Atakuwa mwehu kweli kudai msitu wake wa pande! Mtu kanawili anataka arudi kuwa mchafu? Ukiwa na mke anaekujali hivyo lazima unshukuru Mungu. Wanaume wengine ndo hufanya kazi hiyo ya kupunguza msitu kwa wake zao! Jamani, mambo ya familia siri kichwani....
 
Du! Wiyelele hiyo kali sana. Umenikumbusha jamaa moja tulikuwa tunakula na alipoanza kuongea tu, mate yake yakajaa kwenye sahani zetu. Huyo jamaa mwenye harufu ya kikwapa anaweza kabisa kukimaliza maana mtalaam mmoja ametoa ushauri wa kutumia ndimu....
 
Umewahi kukutana na mtu mwenye harufu mbaya ya kikwapa? Mwaka jana, nilikuwa ofsini nafanya kazi kama kawa mida ya ashubuhi. Pembeni kulikuwa na chai yangu. Aliingia dada mmoja hivi, du! Hata hamu ya kunywa chai iliishia hapo. Japo alihitaji ushauri wa kitalaam, nilimvumilia sana na nilipomalizana nae, ilinibidi nifungue madirisha yote ili harufu mbaya itoke. Alikuwa na harufu ya kikwapa ile mbaya, japo alivaa vizuri sana na ni mrembo.

Jana tu nilikuwa na mkutano kwenye ofisi moja kubwa. Jamaa niliekaa nae karibu balaa! Sijui aliweka mzoga wa panya kwenye kikwapa ata sielewi. Nilipomtazama vizuri, nikakuta ana pete ya ndoa! Nikajiuliza hivi mke wake hasikii harufu hiyo? Jamani, huenda huyu mtu anasoma JF hapa, hebu msaidie aondokane na harufu ya kikwapa. Mezani tuliwekewa juice ya azam na korosho wala sikugusa kitu, hata maji sikunywa kabisa.

Wewe mke wa huyu jamaa, huoni aibu? Au na wewe una tatizo la kikwapa? Watu wengine bwana...

Wazo ulioleta hapa nizuri ila wewe mtoa mada unaonekana unanyodo sana na sizani kama watu wahali ya chini au kutoka kijijini wanaweza kukanyaga sakafu ya nyumba yako,sidhani kama harufu ya jasho ya mtu inaweza kukufanya ukashindwa kula au kunywa kitu flan..Toa ushauri na sio kuleta kejeri za kwenu hapa
 
Naomba nisome tu michango ya wadau hapa..manake...lolz
Ila ufuaji wa soksi jamani....mmmmmh!
Mtu inabidi umwambie tu aingie na viatu...hali ni mbaya!!
 
Umewahi kukutana na mtu mwenye harufu mbaya ya kikwapa? Mwaka jana, nilikuwa ofsini nafanya kazi kama kawa mida ya ashubuhi. Pembeni kulikuwa na chai yangu. Aliingia dada mmoja hivi, du! Hata hamu ya kunywa chai iliishia hapo. Japo alihitaji ushauri wa kitalaam, nilimvumilia sana na nilipomalizana nae, ilinibidi nifungue madirisha yote ili harufu mbaya itoke. Alikuwa na harufu ya kikwapa ile mbaya, japo alivaa vizuri sana na ni mrembo.

Jana tu nilikuwa na mkutano kwenye ofisi moja kubwa. Jamaa niliekaa nae karibu balaa! Sijui aliweka mzoga wa panya kwenye kikwapa ata sielewi. Nilipomtazama vizuri, nikakuta ana pete ya ndoa! Nikajiuliza hivi mke wake hasikii harufu hiyo? Jamani, huenda huyu mtu anasoma JF hapa, hebu msaidie aondokane na harufu ya kikwapa. Mezani tuliwekewa juice ya azam na korosho wala sikugusa kitu, hata maji sikunywa kabisa.

Wewe mke wa huyu jamaa, huoni aibu? Au na wewe una tatizo la kikwapa? Watu wengine bwana...

Kwa demu kunuka kikwapa noma ila kwa mwanaume lazima uwe na kaarufu ka ubeberu kidogo....alafu kitaalamu mwanaume ukiwa na harufu yako natural kwene kikwapa inasaidia kuspeed mwanamke kukonsivu wakati unamgegeda.
Simaanishi kunuka...kuna kikwapa cha usafi yaani mtu unaoga kila siku alafu unatupi ka pafyumu ka umbaliii bila deo.
 
kwa mtu yeyote mwenye kikwapa anitafute binafsi nitampa tips za kuondoa hilo tatizo

Kikwapa sio tatizo.... mwanaume rijali ambaye ana kiwango kikubwa cha kuzalisha mbegu na nguvu za kiume huwa lazima anuke kikwapa cha hali ya juu...ni sawa sawa na beberu dume, wako wengi lakini sio wote wananuka.....na ndio maana wanaotoa harufu ya kikwapa ni wachache mno.... Simaanishi kunuka maana kuna wengine wananuka jasho kutokana na kurudia mashati.
 
mashamba ya katani, bila uangalizi wowote

Anamwacha tu msitu wa kongo unamea kama amazon foresti, kweli?? Afu unalalaje naye?

Binadamu hata kama una kwapa la asili, kuna jinsi ya kulipunguza
Kwanza hakikisha misitu yote imefyekwa kabisa
mi namshukuru Mungu hayo masmeli hayapo kwangu kabisa ,mi naachiaga msitu kwa sana kitu laini cha kishombe shombe ila ningekuwa na kipilipili subutu ningekuwa nakifyeka daily.mimi shori akiwa na kiforest lain uwa kinanipa mzuka sana. Wewe kama unakipilipil imekula kwako
 
Mmh, haya

Huwezi jua kama forest inaongeza kikwapa sababu kila mtu kazoea kikwapa chake

Ila ukweli ndio huo, msitu ni sumaku ya kikwapa

NB: Mie bado mdogo sijaanza mambo ya kuota v.z.

mi namshukuru Mungu hayo masmeli hayapo kwangu kabisa ,mi naachiaga msitu kwa sana kitu laini cha kishombe shombe ila ningekuwa na kipilipili subutu ningekuwa nakifyeka daily.mimi shori akiwa na kiforest lain uwa kinanipa mzuka sana. Wewe kama unakipilipil imekula kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom