Ndugu zangu, nina mpango wa kuomba uwakala w Bima, na kufanya kazi hiyo. Sasa kwa mujibu wa matakwa ya sheria ni lazima awepo mwenye skills za bima. Mimi namtafuta mtu mwenye utaalam wa mambo ya bima awe na vyeti tushirikiane mm nitatoa gharama za deposit, kwa mujibu wa sheria na gharama zote...