Bango la walimu kwa shemeji yao Rais Kikwete

Bango la walimu kwa shemeji yao Rais Kikwete

Kweli hii ni serikali ya kishikaji, hadi shemeji zake wanataka aseme atawaachaje
 
Nadhani walimu wamefanya kile wengi tunachoshindwa kukifanya.Wamelenga madai pana zaidi ya nyongeza stahiki ya mshahara.Zaidi ya hapo wamechora taswira ya heshima haba kwa mkulu jambo ambalo ni mrejesho wa kejeli za serikali kwa watumishi.
 
wameshindwa kujitambua na kupambana dhidi ya anayewatesa,Leo wanamwita shemeji MTU zero kabisa,badala ya kudai khaki wanaendekeza ushemeji ili wapate hisan,HV kila aliyeoa mwalim ni shemej Wa walimu?mbona kuna walimu wameoana,nan shemej ya nan hapo?kuna shule Mbez kwa musuguri Mei mosi walilazimishwa kufundisha hadi saa 8 mchana na wakakubali.je wataweza kufundisha watoto juu ya ukombozi?kama siyo janga nini sa sa?

Kwa hiyo nini kifanyike??.
 
Ni pale wanapofelisha watoto wetu, baada ya wao kugombana na mwajiri wao asiejulikana mpka leo.
 
Kwa hiyo nini kifanyike??.

lianzishwe vuguvugu la kuwaamsha walimu kupambana na unyanyasaji serikalini na shule za binafsi,wakishajitambua watachukua hatua madhubuti,wataachana na ujinga na watafundisha elimu ya ukombozi kwa watoto,Leo mtoto anaona Bango kama like la shemeji je anajifunza nini?
 
Asante kwa ushauri,km wewe pia ni mwalimu ni vema ukaanza kuchukua hatua hizo eneo ulilopo.
 
Walimu wana matatizo sana mtu hajakusaidia bado unajikomba ohoooo shemeji tena usiwasaidie hawajitambui
 
Nimekuunga mkono ujumbe mzito sana kwa kweli inapaswa kuufikiria kwa umakini sana kabla ya kuujibu.Tuwape hongera sana walimu
 
Reli imekufa.barabara ndio hovyo zinajengwa chini ya kiwango.ufisadi ndio umekua kama sera ya serikali.watu wanagawana ela tu na wakiulizwa wanajibu wanazo nyingi tu' na hakuna mamlaka ya kuwashughurikia na kwa sababu hata mamlaka iliyopo nayo ni ya mfumo huo huo, hapa nani atamshugurikia mwenzie kwa kweli shemeji cjui unatuachaje, au ndio tuendelee na haya maisha bora uliyotuaidi?
 
Umesahau alitaka kusema MAISHA BORA kwa FAMILIA za VIONGOZI.........
 
Back
Top Bottom