beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
- Thread starter
- #41
Kwann usiendelee na shule? Kama ulifeli form four lisiti ili upate vyeti vizuri. Hiki cheti cha hotel management bhana inaweza kuwa utata kwa soko la ajira lilivyo sasa.
Mkuu kuendelea na shule nataka ila kikwazo ni pesa na mm male go yangu nipate hela nijiendeleze kielimu