kukucd
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 307
- 196
wanduguuu habari zenuuuui
Nimefkiria kitu Leo kwamba Mke na Mume au wapenzi wanahitaji Malezi makubwa sana.mke/Mme/mpenz jitahid kumlea na kumridhisha mwenzio kama mtoto anavyofuliwa nguo zake, anavyoogeshwa, anavyonyonya, Mume/Mke/ Mpnzi nae hutaka kunyonya, tena hawa watoto wakubwa ndo hunyonya sana. Kifupi ndugu zangu, Mke/Mume katika maisha siku zote huwa ni watoto.
Hivyo wanataka kudekezwa na kupewa ladha tofauti za upendo,.siyo mwanaume unakaa na mwanamke kwa muda mrefu humnunulii nguo, humpi pesa ya salon, humpi pesa ya vipodozi, huwachi pesa yakueleweka nyumbani, hivi mwanamke huyu atakuwa mrembo kweli?!.
Usivione vyaelea, vimeundwa.Yaani mwanamke kabla hujampata alikuwa Mzuri sana had ukumuendea mbio ukampata, ila baada yakumpata unamfuja, anachujuka kisha unamwambia hajipendi,
Mwanamke wako ili atengeze nywele zake, basi hadi abane pesa ya chakula, acheze michezo kwa siri Upatu) ndiyo aweze kuishi, na kuvaa. Hivi mwanamke huyu akitokea kidume akataka kumuhonga pesa mkeo na kumtunza utamlaum nani!??Hebu badlika kaka/baba Mwanamke ni bidhaa adimu sana.
Pia na nyie wanawake mnaofanya kazi au biashara, pesa mnazo hebu watunzeni waume zenu, kwani mkiwatunza heshima mtapata nyinyi. Siyo mnakaa na wanaume hawajui kuvaa, nyie mkitoka nao mnaonekana mmeongozana na kituko. Mnunulie nguo mwenzako apendeze wanawake wenzako wamtamani, siyo unakaa na mume hana mvuto kwa wenzako.Boresheni ndoa zenu na mahusiano yenu kwa Ulezi. Siyo useme ¡°Aka babu nimpendezeshe niibiwe awe hivyohivyo?!
Jamani wote tubadilike wanawake kwa wanume.Asanteni kwa kusoma hadi mkono unaniuma kuandika