Recent content by kagalism

  1. kagalism

    Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

    Hapo inaonesha ni jinsi gan ulivyo na chuki na kampuni ya Shabiby kwa sababu Shabiby hana route ya Dar~Arusha asa ww umepanda lin iyo Shabiby ya Dar~Arusha
  2. kagalism

    Kampuni ya mabasi ya Shabiby ni wahuni

    Shabiby kaanza lin hio ruti ya Dar~Arusha
  3. kagalism

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Naomben link ya match tafadhal mwenye nayo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kagalism

    SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

    Ndio inapaswa but ziko wapi hizo gar mpak watoe daladala za mbezi-muhimbili Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kagalism

    SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

    Number inasomwa na watu wote mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kagalism

    SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

    Kitu ambacho sio haki kabisa yanii Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kagalism

    SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

    Mwendokasi zipo xawa lakin kumbuka hakuna mwendokasi ya moja kwa moja kutoka mbez hadi muhimbili au mbezi had gerezan lazma upande hadi kimara sh 400 then ukapande nyingine mia 650 kuelekea town asa.Wakati daladala za kawaida zilikuwa zinatoza naul ya shilling 600 had muhimbil lakin ukiangalia...
  8. kagalism

    SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

    Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili. Je! Wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kagalism

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Msaada jaman jinsi ya kuweza kupata series za kiphilipino mtandaon
  10. kagalism

    Mtangazaji Paul James 'PJ' arejea Clouds FM

    Baada ya kuona wanapwaya katika kupeluz na kudadis hatimaye Clouds fm wameamua kumrudisha Paul James maana walikuwa wameyumba ila kwa mtazamo wang naona badoo pengo la Gerald Hando bado linaonekanaa
  11. kagalism

    Maoni Ushauri na Mapendekezo kwa mabasi ya mwendo kasi (DART): Nini changamoto, nini umefurahia?

    Kama ww ni mtumiaji wa haya mabasi ya mwendo kasi utakuwa shaidi kwa kweli vituo ni vichafu vikifagiliwa asubuhi ndo ntolee iyo,vioo nadhan havijawah hata kuoshwa toka walipoanza kutoa huduma labda wasaidiwe kwa msaada wa mvua ikinyesha pia magar yamejaa vumbi ukiweka tu mkono dirishan kama...
  12. kagalism

    EFM radio wamesha lewa sifa

    Hahaha uko sahihi kabisa mzeiyaa Pj na Hando wamehama na team nzima ya pb
  13. kagalism

    Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

    Nakumbukwa nilichalazwa fimbo na mwanafunzi mwenzang kisa buk mbil
Back
Top Bottom