SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Napingana na wewe bado hawajaboresha kiasi cha kutosha route ya muhimbili mbezi.... utaratibu wa kupanda gari kwa foleni unasumbua sana foleni ikiwa ndefu pia gari za muhimbili gerezani ni usumbufu mkubwa asubuhi unafika fire gari hamna......
Jioni mwendokasi inasumbua sana wengine hatupendi kubadili magari bora upande moja hadi mwisho sababu ukifika kimara mwisho kwenda mbezi foleni ipo palepale na morogoro road foleni sio kama zamani
Wanachofanya ni udikteta pesa yangu kwanini unipangie aina ya usafiri????? Tunatawaliwa na viongozi wenye utapiamlo wa kufikiri, hovyo sana... sijui wanategemea hao matajiri wa magari na waliowaajiri wakale wapi. Nchi imekua ya kipumbavu sana hii ukifatilia kila kitu unaweza pata msongo wa mawazo bila kujijua.
Uzalendo my ass.
 
Hili zoezi ni toka Jumatatu, hakuna Mbezi - Mihimbili.

Mfano mtu anayetoka Suka kwenda Manzese inabidi atumie sh 1,050 kwa route fupi vile, dah!
 
Mbona mnaongea as if hii ishu umekuja as a suprise, toka mwanzo mpango ulikuwa kuondoa daladala zote za kuanzia mbezi kwenda huko muhimbili na posta, sasa mnashangaa nini? tatizo pekee ambalo mimi naliona ni hali ya kuwambia watu wapande magari mara mbili, yani mtu apande mbezi ashuke kimara apande tena hii ndo inapaswa kushugulikiwa, hizo gari za m/kasi mtu asipande kutokea mbezi moja kwa moja mpaka mjini au huko muhimbili, nini maana ya kumwambia mtu ashuke kimara apande lingine?
 
Ila huu ni upumbavu jamani,ivi hawa Sumatra akili zao wamezielekeza wapi,chini ama juu,Wakumbuke tupo kwenye soko huria hayo mabasi yao ya Mwendokasi hayana faida yoyote ile zaidi ya uzembe,Au kwa vile wao wanamishahara mikubwa na Allah amewajaalia magari,Sasaivi itakuwa kama mtu unamgonjwa pale Muhimbili itakubidi umtembelee mara moja tu tena ni jioni,Viongozi wetu wa kitaifa na hao wenye mamlaka walitizame swala hili kiumakini kabisa
Allah ndy nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napingana na wewe bado hawajaboresha kiasi cha kutosha route ya muhimbili mbezi.... utaratibu wa kupanda gari kwa foleni unasumbua sana foleni ikiwa ndefu pia gari za muhimbili gerezani ni usumbufu mkubwa asubuhi unafika fire gari hamna......
Jioni mwendokasi inasumbua sana wengine hatupendi kubadili magari bora upande moja hadi mwisho sababu ukifika kimara mwisho kwenda mbezi foleni ipo palepale na morogoro road foleni sio kama zamani
Wanachofanya ni udikteta pesa yangu kwanini unipangie aina ya usafiri????? Tunatawaliwa na viongozi wenye utapiamlo wa kufikiri, hovyo sana... sijui wanategemea hao matajiri wa magari na waliowaajiri wakale wapi. Nchi imekua ya kipumbavu sana hii ukifatilia kila kitu unaweza pata msongo wa mawazo bila kujijua.
Uzalendo my ass.
Kimara mbez kuna tatizo bado,kwingineko nadhan wamejitahid na kupunguza folen ni matunda ya mwendokas,matatizo ypo lkn kna unafuu,wakati mwingine tupongeze yale mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia ticket ile ile kivipi mkuu, ama ukifika fire hutoki ndani ya ile checkpoint yao?
 
Route ambayo UDART wanahudumia daladala zinatolewa. Huu ni mwanzo, mwisho wake daladala zote zitatolewa. Vinginevyo hakukuwa na sababu ya huu mradi.
Kumbuka tupo kwenye soko huria
 
Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo magari yapo mengi kiasi gani,ivi ushawahi kupanda haya mabasi na ukaona izo kero
 
Ni siku ya tatu hii Sumatra wameondoa root ya Daladala za Mbezi-Muhimbili je wanamsaidia mwananchi wa kipato cha chini kwa hali hii??
6e1bc4ec1b2f56f47c65046e0f39155a.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
Najilaumu kutokujua "Daa", hebu nielewesheni kulikuwana "mizizi" gani kati ya Mbezi na Muhimbili ambayo Sumtra wameiondoa?!
 
Back
Top Bottom