SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

SUMATRA yaondoa gari za Mbezi-Muhimbili

Hilo ni kosa la kiufundi.
Dala dala na UDART zinge-operate kwa pamoja routes zote. Huduma mbovu zaidi kati ya hizo ingejifia yenyewe.
Tunaingia kwenye Organized Public Transport ambapo daladala haina nafasi. Mwanzoni lazima kuwepo na usumbufu ila itakaa sawa tu.
 
Route ambayo UDART wanahudumia daladala zinatolewa. Huu ni mwanzo, mwisho wake daladala zote zitatolewa. Vinginevyo hakukuwa na sababu ya huu mradi.
Hakika hii ndio dhumuni ya huu mradi...lazima ifike wakati dala dala zote ziondoke ziende pembezoni kabisa... hasa hiyo Route ya Mbezi-Muhimbili inapaswa kuwa ya mwendokasi tuu
 
Lengo ni kujenga barabara maalum kufika maeneo yote ya jiji na kuondosha utitiri wa magari,mimi nichoona,folen imepungua sana na mwendokas inaokoa muda sana.Changamoto ndo kama zilivyotajwa hapa lkn hazitoshi kuwakatisha tamaa.Wakifanikiwa kuweka magari kuanzia mbez bila usumbufu wa kimara itakuwa safi sana.fire muhimbili naona haina shida maana gari zipo za kutosha na hulipi tena nauli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anaemkatisha mtu tamaa.... tatizo wanafanya ubabe. Wafanye maboresho kabla ya kukurupuka. Acha huduma ziendelee atakaeona hapati faida anajiengua kwanini umlazimishe mtu? Kadi zenyewe kwa wanunuaji wapya hawana.... ujinga ujinga tu.... pumbavu kabisa wanaotoa maamuzi ya umma as if wanaamulia familia zao
 
Napingana na wewe bado hawajaboresha kiasi cha kutosha route ya muhimbili mbezi.... utaratibu wa kupanda gari kwa foleni unasumbua sana foleni ikiwa ndefu pia gari za muhimbili gerezani ni usumbufu mkubwa asubuhi unafika fire gari hamna......
Jioni mwendokasi inasumbua sana wengine hatupendi kubadili magari bora upande moja hadi mwisho sababu ukifika kimara mwisho kwenda mbezi foleni ipo palepale na morogoro road foleni sio kama zamani
Wanachofanya ni udikteta pesa yangu kwanini unipangie aina ya usafiri????? Tunatawaliwa na viongozi wenye utapiamlo wa kufikiri, hovyo sana... sijui wanategemea hao matajiri wa magari na waliowaajiri wakale wapi. Nchi imekua ya kipumbavu sana hii ukifatilia kila kitu unaweza pata msongo wa mawazo bila kujijua.
Uzalendo my ass.
Hatuwezi kuacha kufanya jambo kwa kuogopa changamoto bila shaka kupitia changa moto watazidi kufanya maboresho wakati mradi huu unaanza ulikuwa una changa moto nyingi sana kuzidi unazo ziona leo,...
 
Sasa huyo mgonjwa unamuonaje
Ndo hapo.... na ukitoka kumuona huyo mgonjwa hilo vugu vugu la usafiri utatamani kesho isifike uje tena. Akili ndogo haiwezi kusolve matatizo makubwa. Gari zenyewe za gerezani muhimbili ni 4 jioni kipande cha muhimbili fire tu ni foleni ya kuchosha bado hujafika fire kupambana na mamtu kibao yanangoja usafiri
 
Tunaingia kwenye Organized Public Transport ambapo daladala haina nafasi. Mwanzoni lazima kuwepo na usumbufu ila itakaa sawa tu.

"...ila itakaa sawa..."
Hiyo ni nadharia na matamanio (wishful thinking). Kuna wajanja wameamua kukamua pesa kwa njia ya UDART. UDART ni usafiri wa kikomunisti kama korea kaskazini. Mtu unalazimishwa kula usichopenda.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hatuwezi kuacha kufanya jambo kwa kuogopa changamoto bila shaka kupitia changa moto watazidi kufanya maboresho wakati mradi huu unaanza ulikuwa una changa moto nyingi sana kuzidi unazo ziona leo,...
Sio kila changamoto ni ya kuikumbatia you must consider hao walengwa kwanza... no wonder business plan inatafutwa baada ya miradi kuanza. No ujinga wa hali ya juu
Nielewe sipingani na mradi napingana na njia waliyotumia inaumiza walaji kuliko kuwasaidia.
 
Napingana na wewe bado hawajaboresha kiasi cha kutosha route ya muhimbili mbezi.... utaratibu wa kupanda gari kwa foleni unasumbua sana foleni ikiwa ndefu pia gari za muhimbili gerezani ni usumbufu mkubwa asubuhi unafika fire gari hamna......
Jioni mwendokasi inasumbua sana wengine hatupendi kubadili magari bora upande moja hadi mwisho sababu ukifika kimara mwisho kwenda mbezi foleni ipo palepale na morogoro road foleni sio kama zamani
Wanachofanya ni udikteta pesa yangu kwanini unipangie aina ya usafiri????? Tunatawaliwa na viongozi wenye utapiamlo wa kufikiri, hovyo sana... sijui wanategemea hao matajiri wa magari na waliowaajiri wakale wapi. Nchi imekua ya kipumbavu sana hii ukifatilia kila kitu unaweza pata msongo wa mawazo bila kujijua.
Uzalendo my ass.
pata pepsi baridi umenikosha sana mkuu
 
Hata hivyo kung'ang'ana na kagari kabinafsi ili hali kuna mwendokasi ni ulimbukeni.Magari siku hizi unaacha kimara kuna paking kabisa unapanda mwendokas faster.Yanini nihangaike na paking mjini,barabara zinazotoka na zisizotoka ,mizunguko isiyo na lazima na usumbufu wa matrafik polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usemayo ni kweli,ila kwa ujazaji ule wa mwendokasi bado si salama kwa walaji(watumiaji).
Hakuna asiyependa kupanda hayo mabas ila pia yanakera sana
_20170817_110003.JPG
_20170817_110024.JPG

Angalia abiria wa mwendo kasi sasa
_20170817_110040.JPG

May Allah bless Me and You
 
Mkuu hapo napingana na ww,kumbuka mwendokasi haipotezi muda mwingi njiani tofauti na daladala zinazosimama kila kituo,it takes about 30 mns from Kimara to Fire,na pale Fire gari ni nyingi ukisubiri sana ni dakika kumi tu unafika muhimbili dakika tano.Ndani ya lisaa limoja unakuwa tayari uko Muhimbili.Kumbuka nauli hulipi tena,unatumia ticket ile ile.Cha msingi ni kuondoa usumbufu wa kutoka Mbezi hadi Kimara na kurudi Mbezi ,otherwise huu utaratibu utakuwa poa sana,unapunguza muda unaopotea kwenye daladala na Dsm itakuwa nzuri ikiwa mwendokasi utatamalaki jiji zima.

Sent using Jamii Forums mobile app
resources composition yake ni pamoja na time na fedha..wewe umejikita kwenye time bila kuangalia fedha...mbezi-muhimbili ni 500/= kwa daladala za kawaida
 
Tunaingia kwenye Organized Public Transport ambapo daladala haina nafasi. Mwanzoni lazima kuwepo na usumbufu ila itakaa sawa tu.
When?
Maana though mwendokasi ni organized lakini gharama ni KUBWA SANA,mara 2 ya daladala.

May Allah bless Me and You
 
Tusiwalaumu huenda kuna utaratibu mzuri wanauandaaa.
Lengo la Sumatra ni kuwasaidia wananchi na sio kuwataabisha.
Tatizo la watendaji walio wengi ktk nafasi mbalimbali wanakosa UBUNIFU.
 
Back
Top Bottom