Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 705
- 1,368
Siwezi kupongeza kuzuia route ya mbezi muhimbili sababu bado hawajaboresha kiasi cha kutosha foleni ya kuingia mwendokasi muhimbili foleni ya mwemdokasi mbezi bado hujapambana kupata gari ya kimara fire watu ni wengi bado foleni ya kipande cha kimara mwisho mbezi.... unafuu ni mdogo kwa tusiopenda kero bora upambane na mbezi muhimbili ukikaa umekaa unless kungekua na udart roads mpaka mbeziKimara mbez kuna tatizo bado,kwingineko nadhan wamejitahid na kupunguza folen ni matunda ya mwendokas,matatizo ypo lkn kna unafuu,wakati mwingine tupongeze yale mazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Otherwise ubongo wao hauna rutuba ya kutosha kufanya mawazo yanayosanifu win win situation
Akili za kimaskini zimewajaa hawa viongozi this happens only in TZ
1050