Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,765
- 50,851
Hakukuwa na polisi hapo stand?
Ukiona hivyo kesho watalipeleka hilo bus toka Moshi - Dodoma.
Polisi wenyewe njaa kali unadhani watasaidia chochote!?
Hakukuwa na polisi hapo stand?
Ukiona hivyo kesho watalipeleka hilo bus toka Moshi - Dodoma.
Shabiby kaanza lin hio ruti ya Dar~ArushaHii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
Hapo inaonesha ni jinsi gan ulivyo na chuki na kampuni ya Shabiby kwa sababu Shabiby hana route ya Dar~Arusha asa ww umepanda lin iyo Shabiby ya Dar~ArushaHii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
Kaanza lini ruti ya dar arusha mkuuYaani mkuu waneniharibia safari yangu kabisa,afu nilikua sijawahi panda kwa hii route ya Dar - Arusha leo nilipoona basi lao nikapanda sababu ya heshima yao...nilikuaga napanda Dom - Arusha tu na ndio hawanipati tena
Wahuni siyo watu pow shabiby nae kawa muhuni
Hata Aboud ya Dar-Moro wamekua wahuni, wanasimamisha watu Kama kwenye daladala vile. Umepumzika kwenye siti yako Mara unaanza kusikia harufu za ajabu kumbe mtu keshakupanulia kwapa lakeHao abood wenyewe route ya Dar - Mwanza ni wahuni vibaya, kipindi flani nilisafiri nao tulipofika Moro wakaingia gereji kwao, wakatusubirisha zaidi ya 1h , baada ya kuwalalamikia sana ndo tukaendelea na safari. But Abood Dar to Moro ni confortable sana
Sasa nyie Shabiby mjitahidi mnapoyauza wa badili Jina kabla ya kuchafua brand yenuPole Sana Ila napenda kukufahamisha kwamba hakuna Basi la Shabiby la kutoka Dar kwenda Moshi au Arusha. Hilo basi kuna kampuni moja ya Mvungi ndio wametoka kununua hilo basi la kampuni ya Shabiby T132 DLC.Ili kudhihirisha hilo naamini hata tiketi uliyopewa sio ya Shabiby. Ila Pole Sana kwa Usumbufu
Hata mm nmejiuliza Dar- Arusha sijui aisee nijuavyo mm Dodoma Arusha, Nairobi-Dodoma may be kaanza hyo juzi lkn pia kiukweli customer care ya Shabiby sio nzuri kabisaa mm nlikuwa mteja wao mzur sana wa Dom Arusha, lkn kuna siku nmefanya booking asubuhi nafika wamenibadilishia siti,halafu badala ya kuondoka saa kum na mbili wakanipandisha basi la saa moja,wana mambo fulani ya kijinga jinga sana, nkaona isiwe taabu nikahamia zangu Machame,wastaarabu sana waleShabiby kaanza lin hio ruti ya Dar~Arusha
Msingeshuka mkuu. Sema abiria wa kibongo asilimia kubwa hatunaga ushirikiano.
Poleni labda za huko Ila huku kwetu DAR TO DOM hakunaga shida kabisaaaa!! Sema inawezekana gari lilipata shida so walikuwa wanaogopa kuwaweka waziHii kampuni nilikua naamini ni kampuni inayojiheshimu ila leo ndio nimewadharau na sitokaa nipande tena mabasi yao. Leo nimesafiri na basi lao namba T 132 DLC toka Dar kwenda Arusha cha ajabu tumefika moshi wakatuweka kama nusu saa kisha wakatuambia wameahirisha hawafiki Arusha wanaishia Moshi. Wakatufaulisha kwenye libasi libovu limetoka vijijini na bahati mbaya basi lilikua limejaa tukabishana nao sana wakadai tusimame asietaka ashuke. Kuna wamama walikua na watoto wamelalamika mno na wengine wakaamua kutafuta usafiri mwingine. Binafsi pia niligoma kusimama basi limejaa mno.
Kudhihirisha sio bahati mbaya ni uhuni kwanza walituchelewesha sana pale Same baada ya abiria kwenda kulalamika kwa polisi wamelipa nauli mara mbili na wqmegoma kurudishiwa. Hao abiria walikua wanne mmoja aliwalipia wenzake watatu na wao bila kujua wqmelipiwa wakalipa tena baadae walipogundua wakadai refund Shabiby wakagoma ndio kisa cha kutuchelewesha tena lisaa lizima pale Same. Hawa jamaa ni wahuni kupitiliza tofauti na wanavyoonekana na basi zao kuvutia.
Hahaha aibu sana aisee! Hatuna misimamo kwenye haki zetu ndio maana tunaburuzwa tu hata na konda!Kwwli mkuu hiyo ni changamoto, kuna siku natoka Kigoma kuna mama mmoja wa kikongo akawa anawapigia makelele dereva ashuke akachimbe dawa ilipita like 1h ndio driver akasimama basi gari kusimama vidume karibu vyote navyo vikashuka kuchimba dawa, maza aliwamind sana akawaambia kwa kuwa mabubu