Recent content by kaeso

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimetumwa....Kwenu akina dada!!

    ha ha haaah!! Kumbe ndio maana yao......!!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimetumwa....Kwenu akina dada!!

    Ngoja nisepe maana hawa wa humu hawaelewi ule usemi wa "mjumbe hauawi"
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nimetumwa....Kwenu akina dada!!

    Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea,na kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga...next time unaacha pichu,tena nyuma ya mlango...next time unaacha hereni..Next time gagulo...Hivi hii...
  4. K

    JamiiForums Tanzania BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Hivi ule utabiri wa kuwa CDM inakufa 2014 ndio unakaribia kutimia??
  5. K

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kujisajili na CRDB SIM banking.

    Hapo inabidi utembelee tawi lililo jirani nawe.
  6. K

    JamiiForums Tanzania CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

    Yanga hata hawawafikii.
  7. K

    JamiiForums Tanzania CECAFA Senior Challenge: Kutoka Uganda

    La tatu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni Kuhusu Hili.

    Hizo zisizokuwa za moto hazina madhara??
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni Kuhusu Hili.

    Huyu jamaa analeta utani....
  10. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Jackson Makwetta (Mbunge na Waziri wa zamani) afariki dunia

    Ni aliyekuwa mbunge wa huko Njombe na waziri katika serikali ya awamu ya kwanza na ya pili Mhe. Jackson Makwetta amefariki dunia jioni ya leo. Alazwe pema peponi Chanzo: Ndugu wa karibu na marehemu. ======= Fahamu zaidi kuhusu Jackson Makweta Waziri wa Elimu wa Serikali ya Awamu ya Kwanza...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni Kuhusu Hili.

    Asanteni sana wote kwa elimu mliyonipatia.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni Kuhusu Hili.

    Zinakuwaje sasa......
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nielimisheni Kuhusu Hili.

    Askari wakitoa heshima za mwisho katika mazishi ya kamanda Barlow. Naomba kuuliza risasi hizo zinazopigwa juu hazina madhara zinaporudi chini kwa bahati mbaya zikakuta mwili wa binadamu?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maandishi mengine kwenye nguo utata mtupu

    Huyu hapa jamaa mwenyewe..
  15. K

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to all my member twins

    Happy Birthday BornTown
Back
Top Bottom