Maandishi mengine kwenye nguo utata mtupu

piper

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
3,253
612
Habari zenu wana MMU, samahani kwa kutowawekea picha maana nilishindwa kuipiga faster na kuogopa kichapo pia, nilikuwa natoka lunch nikapishana na baunsa mmoja aliyekuwa amevaa fulana yenye maandishi tata hata nikashindwa kumuelewa, mtu kama kiingilishi kinakuchenga si uulize maana ya maneno yanayokuwa yameandikwa kabla ya kununua? just imagine fulana ya njemba huyo ilikuwa imeandikwa I AM YOUR NEXT GIRLFRIEND, tafakari na chukua hatua .............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
vyema wakauliza maana ya maandishi kabla ya kununua. njema mwingine kavaa Tshirt imeandikwa 'Hell is my Home' ukimuuliza hajui lo!!
 
Habari zenu wana MMU, samahani kwa kutowawekea picha maana nilishindwa kuipiga faster na kuogopa kichapo pia, nilikuwa natoka lunch nikapishana na baunsa mmoja aliyekuwa amevaa fulana yenye maandishi tata hata nikashindwa kumuelewa, mtu kama kiingilishi kinakuchenga si uulize maana ya maneno yanayokuwa yameandikwa kabla ya kununua? just imagine fulana ya njemba huyo ilikuwa imeandikwa I AM YOUR NEXT GIRLFRIEND, tafakari na chukua hatua .............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Hukuweka uwezekano kuwa amevaa hivyo makusudi kabisa? Akijua maana ya hayo maneno? Kuhakikisha hili ungeuliza wenzie au yeye mwenyewe!
 
Tayari mzito kabwela alisha post na kuweka picha kule kwenye jukwaa la photo.
 
Habari zenu wana MMU, samahani kwa kutowawekea picha maana nilishindwa kuipiga faster na kuogopa kichapo pia, nilikuwa natoka lunch nikapishana na baunsa mmoja aliyekuwa amevaa fulana yenye maandishi tata hata nikashindwa kumuelewa, mtu kama kiingilishi kinakuchenga si uulize maana ya maneno yanayokuwa yameandikwa kabla ya kununua? just imagine fulana ya njemba huyo ilikuwa imeandikwa I AM YOUR NEXT GIRLFRIEND, tafakari na chukua hatua .............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

398339_328159563949202_1859632649_n.jpg
Huyu hapa jamaa mwenyewe..
 
Jamani shule muhim nishawai kumeet na jamaa tshirt yake imeandikwa "i am a vigin" afu mshikaji kweli!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom