Nielimisheni Kuhusu Hili.

Nielimisheni Kuhusu Hili.

hata hivyo risas ni nyepesi sana ikishalipuka, so wakati wa kurudi speed inategemea uzito.

hata ikikuangukia utosini ni kama kunyewa na kunguru tu!!!

Wacha habari zako za ajabu Mab' we!
 
View attachment 68500
Askari wakitoa heshima za mwisho katika mazishi ya kamanda Barlow.
Naomba kuuliza risasi hizo zinazopigwa juu hazina madhara zinaporudi chini kwa bahati mbaya zikakuta mwili wa binadamu?

Kwenye matukio ya hivi ambayo nimehudhuria huwa hawatumii risasi za moto.
 
Hizo zisizokuwa za moto hazina madhara??

Ndugu kaeso, kama upo serious sana kujua tofauti ya BLANKS na RISASI HALISI na upo Dar, PM me nitakufanyia mpango utaziona na ikiwezekana kuzitumia.
Kama u asked in all honest!
 
Last edited by a moderator:
Madhara yapo, ingawa nikidogo. Maana kile ni chuma, kinaporudi chini kinaweza kukupiga jichoni kika kupofua.
 
kwa sababu wanazielekeza juu hazina madhara kwa sababu uzito wa mabaki yake ni karibu sana na zero.

Madhara yapo, ingawa nikidogo. Maana kile ni chuma, kinaporudi chini kinaweza kukupiga jichoni kika kupofua.

Jamanie...blanks hazina mabaki...ganda la risasi linatoka pembeni ya bunduki upande wa kulia hakuna HAKUNA kinachoenda juu.
Blanks hazina kichwa cha risasi. Blanks ni kasha tu lenye baruti ambayo hutoa mlio tu inapolipuka.
Nothing more.
 
Back
Top Bottom